Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Hahahhaa unatoka na lij mshangaz halafu kwenye pochi yake lina tubifonge kama tu 3 kwa ARV kwa emergency kama atalala nje kwa siku chache jipange
 
Ili uwe mshangazi halisi unatakiwa uwe na sifa kuu tatu, ambazo tunaziita 3T (tit, tak, tumbo). Vyote hivyo vinatakiwa viwe na muonekano wa ushawishi, hapo ndipo unapoingia kwenye kundi la kuitwa mshangazi.

Kama huna hizo 3T wewe sio mshangazi.​
 
Hiyo T ya mwisho raha yake ni nini? Kuna wengine zimeficha hadi naniliu hadi uhangaike kuitafuta.
 
Ili uwe mshangazi halisi unatakiwa uwe na sifa kuu tatu, ambazo tunaziita 3T (tit, tak, tumbo). Vyote hivyo vinatakiwa viwe na muonekano wa ushawishi, hapo ndipo unapoingia kwenye kundi la kuitwa mshangazi.

Kama huna hizo 3T wewe sio mshangazi.​
Wameuleta huku
 
Back
Top Bottom