Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya.

Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
Huwa hatuendi kichwa kichwa, hakikisha unamfahamu vizuri halafu unatafuta Agenda ya kumuingia na kuzungumza nae, hapo unakuwa ushafika 50 ya lengo lako, mengine utajiongeza
 
Vijana wenzangu fanyeni kazi mtakuja kufa kwa fedheha! Siku zote tambua hamna maisha ya short cut yenye furaha na amani, mwisho wa kutaka mishangazi ya kukulea ni mbaya huwezi hata kusimulia.
Waambie kipondo Cha ugoko,mishangazi ni ugonjwa,litakutoa Balu usiku wa manane na boxer lako!
 
Ili uwe mshangazi halisi unatakiwa uwe na sifa kuu tatu, ambazo tunaziita 3T (tit, tak, tumbo). Vyote hivyo vinatakiwa viwe na muonekano wa ushawishi, hapo ndipo unapoingia kwenye kundi la kuitwa mshangazi.

Kama huna hizo 3T wewe sio mshangazi.​
Hata km huna pesaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya.

Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
Ujambo kijana, tuma number yako Pm, nikirudi safarini nitakucheki
Asante
 
Back
Top Bottom