Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

Umeandika mambo ya maana sana, lakini kwa CCM hawatokuelewa.

Binafsi i was hopeful na nikajipa grace period ya up to 4th september, ilivyopita kimya nimeconclude EN hajajiuzulu amelazimishwa kujiuzulu, kwahiyo kwanza wale wa wimbo wa ushujaa ufe. Pili, WaTz hatupaswi kusema chochote ikiwa familia yake yenyewe ipo kimya. Unlike familia ya HP ili push na hivyo Wananchi wote wakapush nao, Ground ya wananchi kuhoji suala la EN kwa muktadha huu ni ipi? kwamba tunamtaka makamu (ex makamu?)

Cha mwisho hili jambo tungewaachia CCM wamdai mtu wao, moja katika kuonesha solidarity yao, pili kuonesha kuwa alichofanyiwa si haki, na tatu kumdai EN kama mwanadamu na mwana CCM.

None CCM people tungekaa pembeni kwa hili, haiwezekani watu watese wananchi, siku wakivurugana wenyewe wananchi ndio wawe wa kwanza kupaza sauti. Waachwe wapambane na hali yao.

Either wana CCM wawe loyal kwa wababe wao wafyate mkia milele au wajifunze kuungana na wananchi wanapoonewa, lazima kuwe na leverage kwenye kila kitu.

Kimtu kijinga kama kikawaida kinafokea watu wazima halafu CCM yote mnakaa kimya, shame on you!
 
Si mlikua mnamsifia kwamba ni Jasusi muandamizi kwamba CCM hawamuwezi na wanamuogopa mbona vilio tena? Na kwa Lissu itakua hivi hivi kama wameweza kumfukuza Makamu wa Rais Lisu wanashindwaje kumnyonga? Tuheshimu mamlaka jamani na tuwe na adabu na mamlaka sio kutaka kutunisha misuli wakati nguvu Amna.
NB:Kuheshimu mamlaka sio uchawa Bali ndio Watanzania tulivyofunzwa kuheshimiana.
 
Acha basi
 
Hii nchi tunakuwa na maneno mengi na u snitch humo humo, ila hatupo watu wa vitendo. Paka mda huu ilitakiwa pawe pamewaka moto. Ila kimya kama hakuna jambo limetokea
Kawashe Sasa,uache kuwasha moto Kwa Ajili ya familia Yako uje uwashe moto kisa kisa Wanasiasa? Hauko serious,binafsi siwezi mwanasiasa hana faida yeyote kwangu
 
Polepole ndugu zake hawajakaa kimya na watanzania hamjafanya kitu.
Hata huyu hamtafanya kitu
 

Na kile kimama uchwara, chatanda kinabwata upuuzi tu, afu CCM wanawachekea, hivi huko CCM hakuna watu wenye UTU?
 
Ila kisasi kwa wafuasi wa Samia plus yeye mwenyewe siku akiachia madaraka kitakuwa kikubwa sana. Na watakaoumia zaidi wazenji wenzake.
Ni suala la muda tu watu watalia kilio kikuu na kusagana meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…