Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

Hawa wapuuzi hawana akili timamu.
They can't know what you wrote about.
Wanayemuelewa ni Mange pekee
 
Maswali kama haya wanakuja kujibu akina Kihongosi, kwa hoja nyepesi sana
Eti hawajui aliko.
 
Kama walimuua Magu na hakuna nywinywinywi ilitokea, kuna jipya lipi kwa EJN?
JPM alikuwa mgonjwa na kwenye hotuba zake alikuwa anaongea sana mambo ya mtanikumbuka.

Bongo president ana nguvu sana na kinacho enforce hiyo ni namna ambavyo polisi, jwtz na vyombo vingine vilivyo na utiifu kama nyumbu kwa president na viongozi wa chini plus raia wenyewe walivyo waoga. Raia wanataka mabadiliko bila consequences zozote.

Isingekuwa hivyo muda mrefu tu matambalilo angekuwa ashaondolewa na watu wanaomzidi uwezo.
 
Mbona hujawa specific kwenye unachokiandika
 
That's a damn shame for the CCMs!
 
Pengine ameshatangulizwa mbele ya haki.
 
Tunakubaliana kwamba wahuni wa sasa wanaweza kufanya chochote hata kwa Samiah na kusiwe na nywinywinywi?
 
Mtu akiongea tu kwamba "mtanikumbuka" anahesabika "kagonjoka"? Subhanallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…