Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

Waasi hawasubiri kupewa au kuletewa. Wao wanatafuta wenyewe ili kukamilisha misheni.
Ukiona unasubiri kupewa basi ujue wewe bado sana kwenye hilo game.
Ndio ni bado sana hakika bado sina experience lakini nikipata chance hakika nakuwa muasi
 
Ndio ni bado sana hakika bado sina experience lakini nikipata chance hakika nakuwa muasi
Mkuu, wewe hauna utayari.
Bado una mambo mengi ambayo haupo tayari kuyapoteza kwa hiyo ni vigumu kutekeleza hayo unayoyawaza.
 
Mkuu, wewe hauna utayari.
Bado una mambo mengi ambayo haupo tayari kuyapoteza kwa hiyo ni vigumu kutekeleza hayo unayoyawaza.
Huwezi ukapima utayari wangu kwa maandishi kaka,naumizwa na yanaoendelea naandika uku natoa machozi.

Nikipata silaha,na mipango thabiti hakika najitoa mwanga sina cha kupoteza bora niache legacy kuliko kuyaona aya nayaona
 
Una mengi ambayo haupo tayari kuyapoteza.
 
Sasa kama Taifa tumsikilize Mange na Maria ndio Think Tank yetu tutakua wazima kweli ? Wapinzani wa hii nchi wanaita hasira sana.
Daktari mmemuweka wapi acheni hizo
Hata Polepole mnasema uchunguzi unaendelea
 
Waache wafu wazike wafu wao wote hao waliua bila huruma wakafurahia madaraka hakuna wakumuonea huruma
 
Ya Nchimbi yanastaajabisha. Hakuna cha ndugu wala mtu yeyote wa karibu na familia yake anazungumzia hali ya Nchimbi na mahali alipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…