Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

Kwani ni Wapi Mmesikia Familia Yake Ikimtafuta?
Halafu wewe unajua ni taahira? Wakati ule wa Magu, akina Lissu walivyokuwa wanahoji alipo, ulisikia familia ikimuulizia?
Halafu then wewe familia yake unaijua, unajuaje wanaomuulizia humu jf kuwa si wanafamilia? Yamkini familia imeona itumie hii platform, wewe unaleta ufandeke hapa!
Ngoja na wewe uone, itafika siku nawe utanyoroshwa na hakuna atakayehangaika na wewe, fala kabisa wewe! Usijione upo salama!
 
Hii nchi tunakuwa na maneno mengi na u snitch humo humo, ila hatupo watu wa vitendo. Paka mda huu ilitakiwa pawe pamewaka moto. Ila kimya kama hakuna jambo limetokea
Leo kwenye YouTube niliipitia tu kuna channel inaitwa kama sikosei bongotv kuna jamaa anaitwa zungu alikuwa anahojiwa kimsingi alikuwa mwathirika wa dawa za kulevya alishazunguka sana mabara ma 4 kaelezea mengi mwishoni mwa interview yake alisema wazi sisi ni masnitch sana aliweka wazi uhalisia wetu kabisa.
 
Hakuna Nguchiro ya kumnyonga Lissu nchi hii. Haijazaliwa bado.
 
Wamnyonge kabisa walete maiti ili hao wanaokimbilia teuzi ccm akili ziwakae sawa

Huyo nchimbi angekua ana akili asingekubali kuapishwa baada ya yale mauaji
Otherwise na yeye akafie mbele
 

VP ukiamua kujiuzulu lazima vyombo vikuweke kwenye uangalizi wa kipindi kisichopungua miezi 6 ili kujiridhisha Kwamba Hauna madhara.

Maana VP ni cheo kikubwa Sana...kwahiyo usitegemee kwa miezi 6 ya mwanzo kama utaweza kumuona kwa public or any media house....yupo kwenye uangalizi kuona kama dhamira yake ilikuwa nzuri kwa Taifa letu.

Kama hujui mifumo utilize tukujuze
 
Sasa kama Polepole walimfanyia waliyomfanyia na hajaonekana karibia mwaka kipi cha ajabu Nchimni kufichwa au kupotezwa?
 
Wanaendaga hivi hivi ila kwa huyu akipotea

Nchii hii haitokaa itawalike
Labda nchi nyingine ila sio hii illiyo jaza mabumunda, ushawahi ona wapi wazawa wanaua wazawa wenzao mamia kwa mamia ili tu mgeni aendelee kukaa madarakani na hasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru kutoka kwa wakoloni?we hushangai?
Wabunge ambao ndio wawakilishi wa wananchi bungeni wanakataa kujadili swala la wananchi kutekwa na kuuliwa hovyo na baada ya kukataa wajipigia makofi , ushawahi ona wapi hiyo wewe kama sio tanzania pekee
 
Unapotosha umma, hakuna anaeweza kumdhulu Nchimbi kwakuwa tayari anafahamika ana ugomvi na CCM na serikali. Hapa tujuavyo sisi ukiwa kwenye hali kama hiyo lazima uwe hai maana likitokea wa kulaumiwa yupo. JPM hakuwa na mgogoro na mamlaka yoyote na yeye ndiye alikuwa AmiriJESHI mkuu wa majeshi yote hakukua na wakulaumia zikabaki hisia tu za watu.

Kwanza tuhangaike kwanza kupata ukweli kuhusu hili hapa:
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=988605313638635
 
Ina maana lidogo lake ni lilafi kiasi kwamba liko tayari ndg yake ayeyuke! Lingejifunza kwa ndg wa polepole.
Mkuu unakumbuka kifo cha Chacha Wangwe?... nae alikuwa na nduguye Prof. Samweli Wangwe............
 
Tunakubaliana kwamba wahuni wa sasa wanaweza kufanya chochote hata kwa Samiah na kusiwe na nywinywinywi?
Wahuni wakiamua huyo samia wanamteka wanaenda kumbaka pale Uwanja wa Benjamin Mkapa camera zote zikiwa On na hamna ataesema chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…