uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
How this possible!?
Kwa kuacha mlango wazi
How this possible!?
Hata ka IST number A huna boss?Huu uzi nitarudi kuusoma siku nikinunua gari kwa sasa sina neno.
Hebu tutafsirie kwa kiswahili tukuelewe.Iko possible mkuu, watoto wanapocheza cheap na huja lock mirango.
Wanaeza kusa sehem zenye ziqaweza kufungua mirango. .
Kweli kabisa mkuu, hii mirango ni tatizo 😂Iko possible mkuu, watoto wanapocheza cheap na huja lock mirango.
Wanaeza kusa sehem zenye ziqaweza kufungua mirango. .
Kwa kuwa dereva n mwanamke bc naweza kuaminiHata sijaelewa kwa kweli....mlango ufunguke usisikie wala kuona???🥺🥺🥺🥺
Ndiomana Mamndenyi amesema muda wote wao wana stress😄Sijawahi kua na amani wala kuvumilia pale ninapoongozana na gari inayoendeshwa na mwanamke. Lazima nimkate au nipaki tu nimuache aende. Na sijawahi kurndesha na mwanamke zaidi ya umbali wa 20km. Siwaamini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ilinitokes siku moja, mtoto mtundu aliondoa lock, bahati nzuri niliwahi kugundua na sikuwa katika barabara kuuHabari wana JF.
Leo nikiwa kwenye safari zangu mjini Dar es salaam Kuna gari ilikuwa inazunguka round-about, ghafla mlango wa nyuma ulifunguka na akadondoka mtoto umri kama miaka 4 hivi.
Na dereva aliyekuwa anaendesha hilo gari hajajua kwamba mtoto kadondoka, Kwa nyuma pia kulikuwa kuna gari nyingine inakuja ikamgonga mtoto kwakumpush na kufunga break haraka maana alikuwa hajamuona mtoto.
Yule mtoto akasimama amechanganyikiwa analia anazunguka zunguka. Kuna bodaboda akalikimbiza lile gari alilotoka yule mtoto na kumsimamisha. Dereva alikuwa ni Mdada boda akamwambia umemdondosha mtoto nyuma pale Mdada anashangaa.
Boda akamwambia unaendesha gari hauku lock milango wakati unaendesha mtoto kachomoka nje Dada kaanza kupiga kelele kilio kizito hata kusimama hawezi.
Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari. Ukiwa na watoto makinika zaidi sio unachezea simu tu.
Na hii ni Kwa wote wewe uliye na gari hata wewe usiye na gari kwasasa ukija kuwa nalo hapo mbeleni kumbuka hilo lock milango punguza kuchezea simu.
Inatokea sana hasa kwa watoto watundu, mama anaweza kufahamu mtoto yupo siti ya nyuma kumbe ameenda nyuma seat, nishaona video kama mbili za namna hii japo sio tz.How this possible!?
Ndio maana wengi wenu mkiwa mnaendesha gari lazima muwe mnaongea na simu.Wanawake muda wote tuna stress
Kuna wazazi ni wazembe sana hasa wa kike,Habari wana JF.
Leo nikiwa kwenye safari zangu mjini Dar es salaam Kuna gari ilikuwa inazunguka round-about, ghafla mlango wa nyuma ulifunguka na akadondoka mtoto umri kama miaka 4 hivi.
Na dereva aliyekuwa anaendesha hilo gari hajajua kwamba mtoto kadondoka, Kwa nyuma pia kulikuwa kuna gari nyingine inakuja ikamgonga mtoto kwakumpush na kufunga break haraka maana alikuwa hajamuona mtoto.
Yule mtoto akasimama amechanganyikiwa analia anazunguka zunguka. Kuna bodaboda akalikimbiza lile gari alilotoka yule mtoto na kumsimamisha. Dereva alikuwa ni Mdada boda akamwambia umemdondosha mtoto nyuma pale Mdada anashangaa.
Boda akamwambia unaendesha gari hauku lock milango wakati unaendesha mtoto kachomoka nje Dada kaanza kupiga kelele kilio kizito hata kusimama hawezi.
Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari. Ukiwa na watoto makinika zaidi sio unachezea simu tu.
Na hii ni Kwa wote wewe uliye na gari hata wewe usiye na gari kwasasa ukija kuwa nalo hapo mbeleni kumbuka hilo lock milango punguza kuchezea simu.
Hasa wanapocheza cheap wakikusa kitu ndo hatari zaidi mkuu.Kweli kabisa mkuu, hii mirango ni tatizo 😂