Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,575
- 2,440
Kumfunga mtoto mkanda wa usalama ni jambo muhimu.
Mkuu unalo gari Kama unalo basi unakashida kidogo.Story ya kutunga hii uongo mtupu
KabisaPamoja sana Mkuu umakini unahitajika sana tusijisahau hata kidogo.
Inawezekana ndugu nilishashudia mtu anaenesha gari mlango wa abiria uko wazi, watu huku barabarani Wana mambo mengi kichwaniKwamba mlango ulifunguka mtoto akaanguka halafu ukajifunga tena au aliendelea kuendesha mlango ukiwa wazi?
Haangalia dashboard, haangalii side mirrors na haangalii rearview mirror!!!
Inawezekanaje?
Kuna wehu humu, child lock ni muhimu sana piaMkuu unalo gari Kama unalo basi unakashida kidogo.
Hii ni moja ya comment ya mwenye gari na mwenye akili .👇
"Aise ndio ninachoipendea JF umetoa angalizo zuri sana ahsante.
Mimi nina mtoto ambaye ana tatizo la akili kidogo japo ukimuona huwezi amini
Siku moja akaniambia baba kuna wakati natamani nifungue gari niruke nife mimi naona sina faida dunia hii.
Toka siku hiyo nikiwa naye siachi ku lock milango hata dereva wangu nimempa hilo angalizo".
Sasa Kama wewe hamna ulicho jifunza ila unaona ni kutunga karibu na wewe utunge Mkuu.
Inawezekana Mkuu hii pia nimeona clips nyingi Sana za cctv inatoke ingia hata YouTube search utaona video nyingi Sana watoto wanafungua milango ya gari wakati gari ikitembea wazazi wengine wanawahi kushtuka wengine wanachelewa hakika umakini unahitajika Mkuu.Kwamba mlango ulifunguka mtoto akaanguka halafu ukajifunga tena au aliendelea kuendesha mlango ukiwa wazi?
Haangalia dashboard, haangalii side mirrors na haangalii rearview mirror!!!
Inawezekanaje?
Watu sio waelewa Mkuu unawapa elimu ndogo tu hawaelewi wakati hata Hapo YouTube Kuna clip kibao za cctv zinaonesha watoto wakifungua milango wakati wazazi wao wanaendesha lakini hapa kuna watu bado hawaeliwi thread hii.Inawezekana ndugu nilishashudia mtu anaenesha gari mlango wa abiria uko wazi, watu huku barabarani Wana mambo mengi kichwani
Ukitaka kuelewa zaidi ingia YouTube search ajali za gari zinahusisha watoto alafu utaelewa huu Uzi .Mbona gari ikifika 25kph hivi inajilock yenyewe milango, na huyo dereva kama mlango haujafungwa haoni warning light kwenye dashboard?.
Vikoba auWanawake muda wote tuna stress
Shangaa na Wewe mlango WA nyuma ufunguke mtoto achomoke kwenye gari Wewe dereva usijue mpaka uje ushituliwe na bodaboda 🤔🤔🤔🤔???How this possible!?
Inatokea hata kwa wanaume tena hata ulaya, Amerika na Duniani kwote. Inawezekana Mkuu ingia hata YouTube Kuna clip nyingi za cctv zinaonesha watoto wakifungua milango wakati wazazi wanaendesha alafu utaelewa vizuri hii.Kwa kuwa dereva n mwanamke bc naweza kuamini
Good.The child lock is usually located on the edge of the rear door and is often labeled with a child lock symbol. To deactivate it, open the door from the outside and use your finger or a small tool to flip the switch to the “unlocked” position. Afterward, test the door from the inside to ensure the lock is disabled.View attachment 3413993
Sijaelewa mkuu, kwamba huyo ni mtoto wa bati akianguka mwili unapiga kelele?Hata sijaelewa kwa kweli....mlango ufunguke usisikie wala kuona???🥺🥺🥺🥺