Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

Iko possible mkuu, watoto wanapocheza cheap na huja lock mirango.
Wanaeza kusa sehem zenye ziqaweza kufungua mirango. .
Kweli kabisa mkuu, hii mirango ni tatizo 😂
 
Reactions: ABJ
Sijawahi kua na amani wala kuvumilia pale ninapoongozana na gari inayoendeshwa na mwanamke. Lazima nimkate au nipaki tu nimuache aende. Na sijawahi kurndesha na mwanamke zaidi ya umbali wa 20km. Siwaamini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ndiomana Mamndenyi amesema muda wote wao wana stress😄
 
The child lock is usually located on the edge of the rear door and is often labeled with a child lock symbol. To deactivate it, open the door from the outside and use your finger or a small tool to flip the switch to the “unlocked” position. Afterward, test the door from the inside to ensure the lock is disabled.
 
Ila wabongo sijui ni ushamba au ni kitu gani kinachotusumbua binafsi siwezi kuendesha gari nikapakia mtoto siti ya mbele kabisa na akikaa siti ya nyuma lazima afunge mkanda na nimarufuku kurukaruka au kucheza nikiwa naendesha gari na kingine mtoto chini ya miaka mitano lazima milango niweke child lock.
 
Ilinitokes siku moja, mtoto mtundu aliondoa lock, bahati nzuri niliwahi kugundua na sikuwa katika barabara kuu
 
Bila picha ni uzushi, kwanza hiyo ni video ya mtandaoni!
 
Kuna wazazi ni wazembe sana hasa wa kike,

Jana nimesikia habari Tabora mtoto wa miaka mi3 kafariki Kwa kutumbukia kisimani wakati huo mama yake yupo ndani na mishe zingine, unajua una kisima na mtoto mdogo kwann usikifunike? yaani wamama wengi ni MAJANGA uwezo wao wa kunusa hatar ni mdogo mno.

Juzi kati nimesafiri kutoka Dar kuja Mwanza Kwa bus jirani yangu amekaa na mtoto siti ya mbele dogo ( miaka kama 4) amesimama kwenye mapaja ya mama yake Kila mara anachungulia nje mama hana habari anaona kawaida tu nimemshtua mara 2 kwamba amzuie dogo ni hatar ila annapuuza na mm mwisho nikamwacha sasa lingempata tukio dogo ungekuta mama anaanza kupiga mayowe, ovyo kabisa wazazi wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…