Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

Hakika Mkuu umakini unahitajika sana watu wengi hawapo makini + mazoea mabaya .
 
WAlock siti na kufunga mikanda hao wenye magari --- maisha haya leo boda kawa shujaa
 
Uwezo wa Mwanamke kunusa hatari ni mdogo sana. Hapa mnaelekezwa unaona kama mizaha. Siku likimkuta mwanao ndio unakuwa kama huyo mwenzako, unaishiwa nguvu huwezi kusimama.
Tunamshukuru Kwa kutukumbusha! Hiyo haiwezi kunitokea! Kwanza hata haijaniingia Akilini!
 
Wanawake hawawezi kukuelewa maana wao careless ndio maisha yao
 
Sio gari zote mkuu. Probox na nduguze hata ufike 180 kama haujalock manually itaendelea kuwa wazi. Na wanawake huwa hawazingatii dashboard signs
Sasa unadhani kuna wadada wangapi wanaendesha probox mkuu, hizo ni za kubebea vifurushi na kujaza watu 14 huko bukoba na sirari.
 
Balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…