Wakuu unaweza kuoa mwanamke mwenye chale ?

Wakuu unaweza kuoa mwanamke mwenye chale ?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Nimekutana na hii ishu na tuko lala salama kufunga ndoa takatifu sas Leo nimebaini mwezangu ana chale kifuani, kwapani kiunoni

Nilitafakari sna kwa vile sijawai kukutana na huyu mwanamke mchna ina Usk tu ndio tunazangamuana sas wakuu hz chale zinanichanganya sna nais ni mshirikina au wazaz wake ni washirikina sijamuuliza bado hadi nitajkapo pata go ahead kutoka kwa mchungaji wangu. Lkn nikaona pia nililete humu mnape mtazamo wenu
 
Mwanamke ni kama bidhaa ilitakiwa umkague kabla hujamuoa,
Kuna fala mwingine humu jamii forum alikuja kulalamika kama ww , amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka imeandikwa I 💕 love John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke?
Wanaume acheni ujinga, eti tunaonana kimwili Hadi tuoane, huu ni ujinga sana kama ujinga mwingine, narudia mwanamke ni bidhaa kama bidhaa nyingine hata dukani huwa tunachunguza vizuri nyanya unapouziwa sio uende nazo nyumbani afu urudishe eti mbovu, pumbavu sana ww,

Kuna jamaa mwingine ameoa mke, Toka wanaanza kuchumbiana hawajachunguzana miili yao,
Baadae ndoa imeshafungwa jamaa anakuta mkewe ana jinsi mbili yaani ana uume na uke SEHEMU ya haja kubwa ni ya tatu, jinga linaanza kulalamika kwa uzembe wake, watu wametapeliwa hata madini kwa kutofungua waone vizuri.

KWA HIYO KABLA HUJAMUOA MWANAMKE MCHUNGUZE VIZURI MWILI WAKE WOTE ILI UJIRUDHISHE,
Kule Zanzibar unakuta mke mzuri sana bikra ila SEHEMU ya haja kubwa ameingiliwa sana Hadi kumeoza, tuwe makini wanaume.
 
Mkuu utapata maneno menngi humu

Ila mkalishe akusimulie moja hadi mwisho kwanini ana vitu hivyo mwlni

Mwambie akuambie lingine usilolijua kuhusu yeye.

Then umwambie ukikuta chale imeongezeka mwilini mwake wewe na yeye bye bye

Ukiwa unaongea nambi uwe kama umepanic unaweza umkamzaba na kakofi mshenzi tofauti na hapo mkuu utabebwa na fisi wenye plate namba

View: https://youtube.com/shorts/0ob7FmoNqvo?si=OGRqS2HKR6vxkXQl
 
Haina shida nyingine ni ulinzi wake alivyokuwa mtoto kutokana na mazingira aliyokuwa akiishi, kwa upande wako Imani yako haingiliani na hizo wala zisikutishe fanya maamuzi kama umeona ni mtu sahihi kwani makanisa yako kwa ajili ya kuwaita wenye dhambi waokolewe familia yako na yake mtakayo anzisha mjenge katika misingi ya kanisa
 
Back
Top Bottom