kilio
Member
- Jan 24, 2014
- 29
- 36
Mwamba hizo siyo chale hizo ni mvuto. Mtoto kaona aende akajizindike ili apate ndoa. Muelimishe aache uoga wewe umempenda na uko teyari kufunga ndoa bila kurogwa.Nimekutana na hii ishu na tuko lala salama kufunga ndoa takatifu sas Leo nimebaini mwezangu ana chale kifuani, kwapani kiunoni
Nilitafakari sna kwa vile sijawai kukutana na huyu mwanamke mchna ina Usk tu ndio tunazangamuana sas wakuu hz chale zinanichanganya sna nais ni mshirikina au wazaz wake ni washirikina sijamuuliza bado hadi nitajkapo pata go ahead kutoka kwa mchungaji wangu. Lkn nikaona pia nililete humu mnape mtazamo wenu