Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Eti chale mbichi! Yaani chale uzione wewe halafu uje utuulize sisi? Unatuonea mkuu! Kwa mfano mimi nikisema namuoa na machale yake, na wewe sasa utamuwowa?Nimekutana na hii ishu na tuko lala salama kufunga ndoa takatifu sas Leo nimebaini mwezangu ana chale kifuani, kwapani kiunoni
Nilitafakari sna kwa vile sijawai kukutana na huyu mwanamke mchna ina Usk tu ndio tunazangamuana sas wakuu hz chale zinanichanganya sna nais ni mshirikina au wazaz wake ni washirikina sijamuuliza bado hadi nitajkapo pata go ahead kutoka kwa mchungaji wangu. Lkn nikaona pia nililete humu mnape mtazamo wenu