Mwanamke ni kama bidhaa ilitakiwa umkague kabla hujamuoa,
Kuna fala mwingine humu jamii forum alikuja kulalamika kama ww , amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka imeandikwa I π love John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke?
Wanaume acheni ujinga, eti tunaonana kimwili Hadi tuoane, huu ni ujinga sana kama ujinga mwingine, narudia mwanamke ni bidhaa kama bidhaa nyingine hata dukani huwa tunachunguza vizuri nyanya unapouziwa sio uende nazo nyumbani afu urudishe eti mbovu, pumbavu sana ww,
Kuna jamaa mwingine ameoa mke, Toka wanaanza kuchumbiana hawajachunguzana miili yao,
Baadae ndoa imeshafungwa jamaa anakuta mkewe ana jinsi mbili yaani ana uume na uke SEHEMU ya haja kubwa ni ya tatu, jinga linaanza kulalamika kwa uzembe wake, watu wametapeliwa hata madini kwa kutofungua waone vizuri.
KWA HIYO KABLA HUJAMUOA MWANAMKE MCHUNGUZE VIZURI MWILI WAKE WOTE ILI UJIRUDHISHE,
Kule Zanzibar unakuta mke mzuri sana bikra ila SEHEMU ya haja kubwa ameingiliwa sana Hadi kumeoza, tuwe makini wanaume.