Wakuu unaweza kuoa mwanamke mwenye chale ?

Eti chale mbichi! Yaani chale uzione wewe halafu uje utuulize sisi? Unatuonea mkuu! Kwa mfano mimi nikisema namuoa na machale yake, na wewe sasa utamuwowa?
 
Ukweli wa hii Hadithi unatia mashaka.
Mlane mara kadhaa hata ikiwa ni Usiku mara kadhaa na usizione Chale kweli??

Tusifanyane Mazoba.
Murongo wewe.
 
Ukweli wa hii Hadithi unatia mashaka.
Mlane mara kadhaa hata ikiwa ni Usiku mara kadhaa na usizione Chale kweli??

Tusifanyane Mazoba.
Murongo wewe.
Sasa Usk unaona vp
 
Kwani papuchi imeziba?? Hizo chale ni za kwake na mganga wake. As long as kipochi manyoya kipo wazi na hanichanji mimi, unaoa tu.
 
Atakujibu alichanjwa akiwa mdogo... Au atakuambia alipelekwa kuchanjwa akiwa hajitambui...
Kimbia fasta hapo... Utaoa mganga atakayekuzalia watoto wachawi wakukule nyama
 
Kama ni mtu wa kupenda waganga hizo chale wanapiga hadi kwenye ulimi kichwani kwenye nywele, ataziona sa ngapi, alafu kumpiga mwanamke ni udhaifu tu naona kwa mwanaume, yaan umemkuta na chale mtoto wa watu hujamkuza, imani aliyokulia huijui, unamzaba kibao eti kisa ana chale! Si kukosa hekima kabisa na akati unaona uchawi unaongelewa hadi viongozi wa srlerikali, yeye ni nani asipate chale za kinga😄😄😄 (BIMA YA AFYA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…