To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Sijawahi pelekeshwa niwe mkweli! Kawafuma mazobaWalimu wakuu wa namna hiyo hawajakutana na na walimu wanaojitambua. Hao walimu wanaoburuzwa hivyo na mkuu wao hawajitambui ni kama misukule, watamuogopaje muajiriwa mwenzao ambaye hajawaajiri na yeye kaajiriwa. Huo ukuu wa shule ni kama ukiranja tu. Walimu wakuu wa namna hiyo wana kiherehere na kujipendekeza kwa viongozi wa ngazi za juu wilayani. Uongozi ni dhamana waache kutesa walimu wenzao