Kuibuka kwa tawala za Kifalme kwenye nchi mbalimbali za Ulaya ambazo zilitawala kwa kutumia mfumo unaoitwa Absolutism/Absolute rule/Divine rule of the Monarchy kulisababisha Wazungu kufanya Mapinduzi ya kisiasa na hivyo kuziondoa hizi tawala kandamizi za Wafalme waliojigeuza kuwa miingu watu.Au nikusimulie sababu hasa ya kuzaliwa kwa Demokrasia Ulaya (Uingereza, Ufaransa, nk) kupitia mapinduzi mbalimbali ya kisiasa?
Pata muda tujadili hii mada
Haya mapinduzi ya Uingereza huwa yanatoa somo kubwa sana kuhusu mabadiliko ya mifumo ya kisiasa za kijamii kuwa mabadiliko hayatokei kwa tukio moja tu la mapinduzi.Kuibuka kwa tawala za Kifalme kwenye nchi mbalimbali za Ulaya ambazo zilitawala kwa kutumia mfumo unaoitwa Absolutism/Absolute rule/Divine rule of the Monarchy kulisababisha Wazungu kufanya Mapinduzi ya kisiasa na hivyo kuziondoa hizi tawala kandamizi za Wafalme waliojigeuza kuwa miingu watu.
Waanzilishi ni Waingereza karne ya 17 walifanya mapinduzi mawili (1649 na mwaka 1688), Wafaransa nao wakaiga kwenye karne ya 18 (1789-1790's), na haya Mapinduzi yakaenea maeneo mengi ya Ulaya katikati ya karne ya 19 (1850's).
Haya Mapinduzi ndiyo yameleta ustawi wa kisiasa tunao ushuhudia sasa kwenye nchi nyingi za Ulaya. I wish na sisi siku moja tufanye the same ili tuweze kuheshimiana.
Hakuna kosa nchi nyingi za Kiafrika ikiwemo hii ya kwetu kama hili la kuruhusu mtu mmoja (Rais) kuwa na madaraka ya Kifalme!Haya mapinduzi ya Uingereza huwa yanatoa somo kubwa sana kuhusu mabadiliko ya mifumo ya kisiasa za kijamii kuwa mabadiliko hayatokei kwa tukio moja tu la mapinduzi.
Mwaka 1649 mapinduzi haya yalimuondoa Mfalme Charles lakini ukaingia tena ukandamizaji mwingine ambapo miaka takribani 40 yakafanyika mapinduzi mengine ambayo hapa waingereza waliamua kabisa kumuweka Mfalme kama pambo tu, na bunge kuwa na mamlaka makubwa zaidi kusimamia serikali, sheria na jeshi.
Hili ni somo kwa wanaobeza hatua waliyoipiga Kenya kwenye social and political reforms zao kuwa eti licha ya mabadiliko ya Katiba, bado wana changamoto kama kisingizio eti hata tukibadili katiba bado haitatua changamoto zilizopo.
Ukifuatilia utawala na safari ya kisiasa ya Chile—chidi ya utawala Pino chet, ni kioo halisia cha kujitazamia nchi yetu.
Binafsi mfumo wa Parliamentary Democracy huwa naona ni mfumo bora sana katika nchi hizi zetu za kimaskini.Hakuna kosa nchi nyingi za Kiafrika ikiwemo hii ya kwetu kama hili la kuruhusu mtu mmoja (Rais) kuwa na madaraka ya Kifalme!
Tulitakiwa kuwa na mihimili mitatu huru (Serikali, Bunge na Mahakama) isiyo ingiliana. Mfano kwenye nchi yetu mambo ni tofauti kabisa. Serikali ndiyo ina miliki Bunge na Mahakama! Kwa hali hii Rais wa nchi anafanya vile anavyotaka. Hii ni hatari sana kwa ustawi wa nchi yetu.
Pascal Mayalla huyu ndo ulisema ana historia ? Ndo anaandika hivi? Ni Muislamu? Labda mi dini haijanishika sana. Nimeona hii comment nikacheka sana. Wakristo mnaumia kuona majina ya Kiislamu? Mnaumiaje? Why mnapata shida? Haya ni mawazo ya bwana modPulchra...
Kueleza historia ya mchango wa Waislamu si suala la dini ni kama vile inavyoelezwa mchango wa Wakikuyu katika historia ya kupigania uhuru wa Kenya.
Kinachowaumizeni ni yake majina ya Kiislamu katika historia ya TANU.
Nitafute katika Cambridge Journal of African History usome wanahistoris wa sifa: John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan wameandika nini kuhusu kitabu cha Abdul Sykes.
Hakuna aliyeona udini.
Mtu...Pascal Mayalla huyu ndo ulisema ana historia ? Ndo anaandika hivi? Ni Muislamu? Labda mi dini haijanishika sana. Nimeona hii comment nikacheka sana. Wakristo mnaumia kuona majina ya Kiislamu? Mnaumiaje? Why mnapata shida? Haya ni mawazo ya bwana mod
Neither religious identity nor tribal identity was a factor during the fight for freedom. Hayo mnayaleta ninyi wafia dini na ukabila.Pulchra...
Kueleza historia ya mchango wa Waislamu si suala la dini ni kama vile inavyoelezwa mchango wa Wakikuyu katika historia ya kupigania uhuru wa Kenya.
Kinachowaumizeni ni yake majina ya Kiislamu katika historia ya TANU.
Nitafute katika Cambridge Journal of African History usome wanahistoris wa sifa: John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan wameandika nini kuhusu kitabu cha Abdul Sykes.
Hakuna aliyeona udini.
Pulchra...Neither religious identity nor tribal identity was a factor during the fight for freedom. Hayo mnayaleta ninyi wafia dini na ukabila.
Sisi tunachotaka ni neutral historical account ya harakati za kupigania uhuru. Hayo mengine ambizaneni kwenye nyumba za ibada na kwenye tribal or clan meetings, kama mnaona yana tija!
Mzee Mohamed, acha kuangalia kila kitu kwa lens ya dini. Unajiharibia sana credibility.Pulchra...
Suala la kwa nini Waislamu walikuwa mstari wa mbele kupambana na Wajerumani na Waingereza ni somo la kufanyiwa utafiti (Field of Inquiry).
Kwa nini walikuwa Waislamu ndiyo waliounda African Association 1928 na TANU 1954?
Kwa nini hakutokea Mkristo kumpa hifadhi ya makazi Nyerere alipoacha kazi ya Ualimu akaenda kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes?
Kwa nini Mufti Sheikh Hassan bin Ameir alikuwa anauza kadi za TANU misikitini?
Kwa nini iwe hivi?
Ikiwa wewe unadhani haya si maswali yanayotaka majibu si kitu.
Pulchra...Mzee Mohamed, acha kuangalia kila kitu kwa lens ya dini. Unajiharibia sana credibility.
Vinara wa mapambano dhidi ya Wajerumani na Waingereza came from all walks of life. Neither religious identity nor ethnic identity was a factor.
Vilevile, si TAA wala TANU iliyoundwa na Waislam pekee yao. Angalia, kwa mfano, hii full list ya founders wa TANU:
TANU was formed from the Tanganyika African Association by seventeen founders on 7 July 1954, namely S. M. Kitwana, Kisung'uta Gabara, John Rupia, Japhet Nkura Kirilo, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Germano Pacha, Abubakar Ilanga, Joseph Kimalando, Dossa Aziz, Tewa Said Tewa, Constantine Oswald Milinga, Lameck Makaranga Bugohe, Patrick George Kunambi, Joseph Kasella Bantu, Ally Sykes, Abdulwahid Sykes and Saadan Abdul Kandoro.
Hao wote ni Waislam?
Mtu...
Unaweza kuniona upendavyo.
Lakini nimetunukiwa tuzo kadhaa na nimealikwa vyuo kadhaa Afrika, Ulaya na Marekani kuzungumza historia hii.
View: https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=qvWXc3R9jjLXDGyQ
Mtu...Mi sijui na wala sidhani kama ni big issue. Mimi sijauliza about you bwana Mod. Niliuliza kwa ujumla sasa kama kutunukiwa ni issue samia ametunukiwa udaktari wa heshima lakini haimaanishi ana huo uwezo sheikh wangu. Ni vijimambo tu. Kama utakuwa na uwezo utaandika mambo ya msingi ya kihistoria wa wataona watacomment. Mi kabla ya kufungua uzi naangalia hata comments pia. Nmeona sehemu nyingine una comments 4 au hazizidi 10. Ndo maana sikuzifungua.
Acha cherrypicking—kitu gani kinakufanya usiwataje heavyweights kama kina Chief Mkwawa, Mtemi Isike, Nduna Mkomanile, Mangi Meli? Mapambano dhidi ya mkoloni yaliongozwa na watu wa imani na makabila mbalimbali. And they did nothing in the name of religion or tribe!Pulchra...
Sijapatapo kujiharibia chochote vinginevyo nisingekuwa hivi nilivyo.
Ningekuwa sio credible ningekwepwa.
Kila chombo cha habari ndani na nje Wanaomba mahojiano na mimi.
"All walks of life" husemi kweli.
Maji Maji: Khadija Mkomanile lakini jina la Khadija limefutwa.
Abduraufu Songea Mbano lakini jina la Abduraufu limefutwa.
Waasisi wa TANU ni mfano ule ule wa waasisi wa African Association 1929 na wajumbe wa TAA Political Subcommittee 1950.
Mbona hushangai kuwa historia wewe umeisoma kwangu?
Ushaiona popote?
Puchra...Acha cherrypicking—kitu gani kinakufanya usiwataje heavyweights kama kina Chief Mkwawa, Mtemi Isike, Nduna Mkomanile, Mangi Meli? Mapambano dhidi ya mkoloni yaliongozwa na watu wa imani na makabila mbalimbali. And they did nothing in the name of religion or tribe!
Historia inayowaengua wanaharakati ambao hawakuwa Waislam nayo itakuwa imejaa makosa. You’re trying to correct one mistake by introducing another mistake. Sioni tija hapo!Puchra...
Mimi sina tatizo na unavyodhani wala si lazima kuamini historia hii ya wazee wangu.
Historia iliyojaa makosa imekuwepo na inaendelea kuwapo.
Tofauti ni kuwa hivi sasa iko historia hii nyingine niliyoandika mimi.
Historia inayowaengua wanaharakati ambao hawakuwa Waislam nayo itakuwa imejaa makosa. You’re trying to correct one mistake by introducing another mistake. Sioni tija hapo!
Pulchra...Historia inayowaengua wanaharakati ambao hawakuwa Waislam nayo itakuwa imejaa makosa. You’re trying to correct one mistake by introducing another mistake. Sioni tija hapo!
Mtu ...Kumbe ndo maana... Basi hata sisi pia tumempuuza. Maana huyu hawezi kuwa mwanahistoria.
Kumbe BC na AD imeshabadilika.Mimi ni Mwana Historia mbobevu! Unataka nikupatie historia gani? Ile ya Before Christ (BC) ambayo siku hizi kwenye vitabu vya shule wanaiita Before Common Era (BCE), au unataka Historia baada ya kuzaliwa Yesu Kristo, yaani Anno Domino (AD) ambayo nayo kwa sasa inatambulika kama Common Era (CE)!
Unaitaka historia ya Bara la Afrika kabla na baada ya kuja Wakoloni?
Unataka historia ya Karl Marx na Scientific Socialism, unataka sababu hasa zilizowafanya Wazungu kuja Afrika? Nikimaanisha zile sababu zenye mlengo wa Afro centic views!
Unataka nini kijana? Nikuletee sababu halisi za Zanzibar Revolution na kutelekezwa kwa John Okello, mtu muhimu kwenye yale mapinduzi?
Au nikusimulie sababu hasa ya kuzaliwa kwa Demokrasia Ulaya (Uingereza, Ufaransa, nk) kupitia mapinduzi mbalimbali ya kisiasa?
Kuna Wanahistoria wana sifa ya kufundisha chuo kikuu. Lakini kutokana na kushamiri kwa upendeleo na kukosekana kwa usawa, wamejikuta wanafanya kazi za kawaida.
NB: haya niliyokueleza hapa sijayachukua kutoka chatgpt! Yapo kichwani ok?
Ndiyo. Siku hizi tuna BCE (Before Common Era) na CE (Common Era).Kumbe BC na AD imeshabadilika.