Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Huwa wanakosa matunzo hata madogo madogo kupikiwa ,usafi halaf wanazurura hovyooo
mkuu, juzi nimekumbana na mzee mmoja, hana msaada analialia kama mtoto, nilipouliza mama/mzee mwenzake au watoto wake wako wapi, nikaambiwa jamaa alikuwa bitozi enzi zake hakutaka kuoa. sasa hivi uzee umemshukia, sukari imemkaba, macho hayaoni vizuri, majuto aliyo nayo anatamani arudishwe ujana arekebishe alipokosea
 
mkuu, juzi nimekumbana na mzee mmoja, hana msaada analialia kama mtoto, nilipouliza mama/mzee mwenzake au watoto wake wako wapi, nikaambiwa jamaa alikuwa bitozi enzi zake hakutaka kuoa. sasa hivi uzee umemshukia, sukari imemkaba, macho hayaoni vizuri, majuto aliyo nayo anatamani arudiswe ujana arekebishe alipokosea
ana hela? ukitaka kuwa lifetime bachelor hakikisha Pesa unazo!
 
Hawakawii kusemasema wananyanyaswa au ndugu wamemtenga na kumkimbia.Vilio kama vyote kumbe ujuaji wakati wa ujana.
Kwasababu ukizeeka familia yako ndio watakutunza na sio ndugu maaana na wao wanakuwa busy na familia zao,mtu unatakiwa uandae familia na nyumba ya kuishi uweke msingi imara ukizeeka utaish kwako na wajukuu
Wengi tunawaona mbona wazee ambao hawajaoa
 
mkuu, juzi nimekumbana na mzee mmoja, hana msaada analialia kama mtoto, nilipouliza mama/mzee mwenzake au watoto wake wako wapi, nikaambiwa jamaa alikuwa bitozi enzi zake hakutaka kuoa. sasa hivi uzee umemshukia, sukari imemkaba, macho hayaoni vizuri, majuto aliyo nayo anatamani arudiswe ujana arekebishe alipokosea
Hapo angekuwa na familia hata wajukuu wangemsaidia
 
Kwasababu ukizeeka familia yako ndio watakutunza na sio ndugu maaana na wao wanakuwa busy na familia zao,mtu unatakiwa uandae familia na nyumba ya kuishi uweke msingi imara ukizeeka utaish kwako na wajukuu
Wengi tunawaona mbona wazee ambao hawajaoa
Wanajiita mabaharia.Baharia akikwama analialia.😂😂😂😂
 
ana hela? ukitaka kuwa lifetime bachelor hakikisha Pesa unazo!
wrong thinking. pesa ni ya maana ujanani tu ukiwa na nguvu za kuitumia. .ukishazeeka pesa is nothing. relationship ndiyo kila kitu hasa with your immediate family members-mke na watoto. waulize wenye pesa na hawana relationship nzuri na wanafamilia wao, watakwambia huzuni waliyonayo
 
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke.

Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa.

Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule msimamo wangu ya kwamba Maisha ya Mwanaume ili yawe Marefu kwa zama hizi aachana na hizi ndoa. Hutoua/Kuuawa/Kujiua.

Je wale wenzangu Lifetime Bachelors tupeane Mbinu zipi katika maisha yetu ya ubachela?

Uzi tayari!

cc: Liverpool VPN
Japokuwa wanawake siku hizi wengi ni wabinafsi na wanapenda hela ,haimaanishi kwamba ndoa ni scam kwani wapo wachache, wanajua nini maana ya ndoa na wapo tayari kuviishi viapo vya ndoa.
 
Back
Top Bottom