Nasubiria walet nakwambia tuoge Kwanza tuanze mahaba ukiingia bafuni nakufungia na kufuli nabeba vinywaji na Chakula natembea Natumia mkoba nabeba pesaa zote nduki naenda kuacha ufunguo reception nawadanganya unataka kuniomba tigo nimekukimbiaunafikiri nakuruhusu tunalia nyama na vinywaji nje la hasha labda kama na mimi sio mjanja watatuletea chumbani sio nje
Aiseee umenikumbusha machungu...nakumbuka kabisa ilikuwa mwaka 2014..binti aliniambia nimtumie nauli..ambayo ilikuwa ni 3000 tu basi na mimi nikajiongeza nikamtumia elfu tano..kilichotokea...mung pekee ndo anajuaa..mana binti akasema mie siji tena...nna dhararula..aisee wanawake mungu anawaona
Wewe mm sipendi mchezo mchezoHahaaa! Wewe umeshindikana.
🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵Nasubiria walet nakwambia tuoge Kwanza tuanze mahaba ukiingia bafuni nakufungia na kufuli nabeba vinywaji na Chakula natembea Natumia mkoba nabeba pesaa zote nduki naenda kuacha ufunguo reception nawadanganya unataka kuniomba tigo nimekukimbia
Demiss unanifundisha kitu sitokubali unipeleke hoteli unayoijua wewe, utanikuta hapo na utakuta nimeshaoga tayari, ukifika unaenda kuoga then tunaanza mchezo baada ya hapo tunaagiza vinywaji hapo ndio ntakuwa nimekubanaNasubiria walet nakwambia tuoge Kwanza tuanze mahaba ukiingia bafuni nakufungia na kufuli nabeba vinywaji na Chakula natembea Natumia mkoba nabeba pesaa zote nduki naenda kuacha ufunguo reception nawadanganya unataka kuniomba tigo nimekukimbia
AsanteNishakusamehe[emoji1]
Mxeeew mchezo bila kunywa savvana wala sinyegekiDemiss unanifundisha kitu sitokubali unipeleke hoteli unayoijua wewe, utanikuta hapo na utakuta nimeshaoga tayari, ukifika unaenda kuoga then tunaanza mchezo baada ya hapo tunaagiza vinywaji hapo ndio ntakuwa nimekubana
Mxeeew mchezo bila kunywa savvana wala sinyegeki
Hahahaaa,,,,, mimi towashiHivi inakuwaje wadau demu unamtumia nauli baada ya kupokea hela anapiga kimya haji wakati mshakubaliana aje kwako ? .Naomba michango
Mi mwenyewe nilikula tu ningefanyeje na nauli ishaliwaMi wa hivyo huwa ninapiga ku update cv
Siku nyingine mwambie ,tumia ela yako ,nitakurudishia huku!!Nishapigwa
Hahaha unanikumbusha mbali sana, nilintumia nauli demu aje Dar Toka Arusha akaishia mitini.Hivi inakuwaje wadau demu unamtumia nauli baada ya kupokea hela anapiga kimya haji wakati mshakubaliana aje kwako ? .Naomba michango
Hahahahaha Ngoja atuzum..apo anacheka sanaaaaaHalafu yumo humu jf anatu zoom tu
Niliwahi kupata shida kuimagine muonekano wako..! Ila 98% unaendana na posts zako..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]naomba nisamehe kwa kweli nilienda kununulia carolite hiyo helaaa
Hahahahaha ukimlipua utafanya abadil ID nasaingine kawapanga hata watatuSijui nimlipue