[emoji1] [emoji1] [emoji1] una bahati mzeeMm nlituma nauli elf 50 moshi kuja morogoro nikiwa chuoni. Aisee nlienjoy sijaahi kuona,ila sasa gharama nlotumia ni laki kama 2, maana dem alikuja ijumaa nikakesha jumamosi, jumapili, dem akakataa kuondoka jumapili akasema anaomba ruhusa kazini na mm mfuko nauhurumia na nimeshapiga gem nimechakaa vibaya. Sihitaji tena. Ikabidi nimwambie nimeishiwa hela. Dem akajichanga elf 30 ya room, nikawa sina ujanja. Ilibidi nitumike zaidi ya uwezo wangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duuh!!Nilishawai kumtumia nauli x wangu mmoja hivi, kutoka Nzega kuja Mwanza,alichonifanyi Sitosahu Mpaka leo yaani,,,Wanawake mitu mibaya Sanaaaaa[emoji25] [emoji25] [emoji25]Hivi inakuwaje wadau demu unamtumia nauli baada ya kupokea hela anapiga kimya haji wakati mshakubaliana aje kwako ? .Naomba michango
aiseeee daahh kwahiyo alijifnya mjnja akakupiga changaAhh nilirusha mpesa ya Fastjet oneway ikaliwa, nikawa mpole sana nikajua nina kiherehere nikakoma, TUNAJIFUNZA KWA MAKOSA TUNAYO YAFANYA. ndo maana nikitongoza demu akiomba hela mapema situmi maana tunaweza tukaachana muda wowote hata kabla ya kuonana
hahaaa namla hivyo hvyo manina usintanieKuna jamaa yangu alimtumia miss wa wilaya flani maarufu dar. Alikuwa mwanza kikazi, alituma nauli return ticket ya fastjet kama laki 5 hivi. Dem akaja kweli ila yupo period so hakula mzigo. Jamaa alimaind balaa
kweli kabisa mkuu ..chao chao vya kwetu wanataka viwe vyao piaMimi nina uzoefu na mambo haya kwa miaka 40 hivi !! Nimeshawahi kulizwa na kuliza vile vile
Hii jinsia ya kike ni kama muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Cha Zanzibar ni cha Zanzibar, Lakini cha Tanganyika ni cha wote a.k.a Tanzania. Mwanamke naye cha kwake ni cha kwake Lakini cha mwanaume ni cha wote a k a family
aiseeee daahh kwahiyo alijifnya mjnja akakupiga changa
wanawake niwakuwa samehe tu mkuu ..niwatu wenye visa mnoohataree
aisee ww wa ajabu sana nauki ya moro dar elfusaba inamaana ungetuma elf kumi ingetoaha kabisa maana tatu inayobaki buku angekunywa soda buju nyingine angeweka vocha akifika ubungo na buku nyingine angepata pikipiki kukufuata ulipo aiseee ndugu yangu hebu badilika hata kama pesa unazoMi zangu wamekula nyingi sana ila iliyoniuma nilimtumia dem 50000 moro aje dar