Manabii wa jf hao,walimwambia hata Magufuli kuwa unakwenda akabisha.Kuna uzi flani kuna mtu alitabiri kutatokea ajali ya ndege
Naamini uongozi wa humu lazima ukufungie haraka sanaaaaaaaaaaaa ili kulinda hadhi na Heshima ya mtandao huu iliyojijengea kwa muda mrefu, HII HAIKUBALIKI ,HAIKUBALIKI hata kidogo ,HAIKUBALIKI mahali popote pale duniani kwa huu udhalilishaji kwa kiongozi wetu, hata Kama umekosa malezi ya wazazi wako Ni lazima ufundishwe kuheshimu wengine, Hata Kama humuheshimu mama yako ni lazima ufundishwe kuheshimu mama wa wengine, Hata Kama huheshimu wanaotofautiana na wewe Ni lazima ufundishwe kuvumilia mawazo ya wengine, hata Kama hujafundwa kuheshimu viongozi lazima ufundishwe na kujifunza kuwa hakuna mahali pasipo na uongozi hapa DunianiHao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.
Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]oyaaaaaaHao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.
Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Ameshatoa pole kwa wafiwa na kuomba Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi, pili mh Rais wetu ameagiza uchunguzi ufanyike wa chanzo Cha ajari na kutaka watanzania kuwa kitu kimoja kuwa watulivu na subira wakati huu wakati serikali inaendelea kushughulika na suala hiliKwani samia anasemaje?
Jf kuna karama zoteManabii wa jf hao,walimwambia hata Magufuli kuwa unakwenda akabisha.
Tukio lenyewe kwa kweli linasikitisha sana.Hao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.
Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Kunywa ya baridi kwa mangi nalipia billHalafu utasikia eti Wakazi wa Kagera ni wavivu lakini ndo wanavuta ndege na kuendesha mitumbwi kuokoa wasafiri
Tatizo ni minyororo au cable ya kuvutiaHao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.
Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Je kwenye tetemeko yule jamaa alivyoiba hela za tetemeko?Majanga kama haya ndio yanatupa picha ya aina ya watu wanaotuongoza.
Tuna viongozi wazembe sana lakini wanapenda kuzingangania nafasi zao kwa ajili ya maslahi tu.
πππ€£π ππππCCM wamempongeza Kwa Kazi nzuri za kutaliii huko china
Blah blah blah, kuna emergency unasubiria amri ya CO wakati yupo mess anakunywa chai!,uzuzu at its bestHao huwa hawaendi bila amri toka kwa mkuu wao, inawezekana ndio walikuwa wanaisubiri.
Hata hivyo, baadae wanajeshi waliungana na raia kuivuta ndege iliyopata ajali.
Hizi hasira mnazokuwa nazo kwa wananchi wenzenu wakifanya mambo ya kipuuzi mngeweza pia kuzielekeza kwa viongozi wenu wa nchi wanavyofanya mambo ya kipumbavu kama taifa tungepiga hatua kadhaa mbele.Naamini uongozi wa humu lazima ukufungie haraka sanaaaaaaaaaaaa ili kulinda hadhi na Heshima ya mtandao huu iliyojijengea kwa muda mrefu, HII HAIKUBALIKI ,HAIKUBALIKI hata kidogo ,HAIKUBALIKI mahali popote pale duniani kwa huu udhalilishaji kwa kiongozi wetu, hata Kama umekosa malezi ya wazazi wako Ni lazima ufundishwe kuheshimu wengine, Hata Kama humuheshimu mama yako ni lazima ufundishwe kuheshimu mama wa wengine, Hata Kama huheshimu wanaotofautiana na wewe Ni lazima ufundishwe kuvumilia mawazo ya wengine, hata Kama hujafundwa kuheshimu viongozi lazima ufundishwe na kujifunza kuwa hakuna mahali pasipo na uongozi hapa Duniani
Naamini akili yako haipo sawa, Naamini kichwa Hakipo sawa, Naamini Ni mtu uliyeshindika, lakini haata Kama kichwa Hakipo sawa Naamini lazima urekebishwe na kunyooka kimaadili, lazima uridi katika utanzania wetu wa kuheshimiana na kuvumiliana, Hatuna watu wa aina yako waliokosa adabu na heshima,
Taifa lipo kwenye wakati mgumu sana. Mungu pekee atunusuru. Watanzania wako so innocent, ila wanapitia mazito yenye kusababishwa na viongozi wachumia tumbo.Pamoja na kazi hiyo ya wananchi wanyonge na kandamizwa... Lakini SIFA NA PONGEZI ZITAENDA KWA MAMA. Subirini mtaona.