Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

Hao JWTZ ni vilaza watupu,

Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.

Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.

Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Naamini uongozi wa humu lazima ukufungie haraka sanaaaaaaaaaaaa ili kulinda hadhi na Heshima ya mtandao huu iliyojijengea kwa muda mrefu, HII HAIKUBALIKI ,HAIKUBALIKI hata kidogo ,HAIKUBALIKI mahali popote pale duniani kwa huu udhalilishaji kwa kiongozi wetu, hata Kama umekosa malezi ya wazazi wako Ni lazima ufundishwe kuheshimu wengine, Hata Kama humuheshimu mama yako ni lazima ufundishwe kuheshimu mama wa wengine, Hata Kama huheshimu wanaotofautiana na wewe Ni lazima ufundishwe kuvumilia mawazo ya wengine, hata Kama hujafundwa kuheshimu viongozi lazima ufundishwe na kujifunza kuwa hakuna mahali pasipo na uongozi hapa Duniani

Naamini akili yako haipo sawa, Naamini kichwa Hakipo sawa, Naamini Ni mtu uliyeshindika, lakini haata Kama kichwa Hakipo sawa Naamini lazima urekebishwe na kunyooka kimaadili, lazima uridi katika utanzania wetu wa kuheshimiana na kuvumiliana, Hatuna watu wa aina yako waliokosa adabu na heshima,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]oyaaaaaa
 
Kwani samia anasemaje?
Ameshatoa pole kwa wafiwa na kuomba Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi, pili mh Rais wetu ameagiza uchunguzi ufanyike wa chanzo Cha ajari na kutaka watanzania kuwa kitu kimoja kuwa watulivu na subira wakati huu wakati serikali inaendelea kushughulika na suala hili
 
Hao JWTZ ni vilaza watupu,

Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.

Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.

Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Tukio lenyewe kwa kweli linasikitisha sana.
Ila comment yako imesababisha nicheke tu, maana ni kama vile namuona!
Maisha haya!😔
Watanzania wengi wanaangamizwa kutokana na viongozi wenye dhamana kukosa maarifa na maono juu ya taifa. Wenye maono wanapingwa kwa nguvu zote na pengine hata kuuawa!
 
IMG_0790.jpg
 
Hao JWTZ ni vilaza watupu,

Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.

Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.

Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Tatizo ni minyororo au cable ya kuvutia
 
Hao huwa hawaendi bila amri toka kwa mkuu wao, inawezekana ndio walikuwa wanaisubiri.

Hata hivyo, baadae wanajeshi waliungana na raia kuivuta ndege iliyopata ajali.
Blah blah blah, kuna emergency unasubiria amri ya CO wakati yupo mess anakunywa chai!,uzuzu at its best
 
Naamini uongozi wa humu lazima ukufungie haraka sanaaaaaaaaaaaa ili kulinda hadhi na Heshima ya mtandao huu iliyojijengea kwa muda mrefu, HII HAIKUBALIKI ,HAIKUBALIKI hata kidogo ,HAIKUBALIKI mahali popote pale duniani kwa huu udhalilishaji kwa kiongozi wetu, hata Kama umekosa malezi ya wazazi wako Ni lazima ufundishwe kuheshimu wengine, Hata Kama humuheshimu mama yako ni lazima ufundishwe kuheshimu mama wa wengine, Hata Kama huheshimu wanaotofautiana na wewe Ni lazima ufundishwe kuvumilia mawazo ya wengine, hata Kama hujafundwa kuheshimu viongozi lazima ufundishwe na kujifunza kuwa hakuna mahali pasipo na uongozi hapa Duniani

Naamini akili yako haipo sawa, Naamini kichwa Hakipo sawa, Naamini Ni mtu uliyeshindika, lakini haata Kama kichwa Hakipo sawa Naamini lazima urekebishwe na kunyooka kimaadili, lazima uridi katika utanzania wetu wa kuheshimiana na kuvumiliana, Hatuna watu wa aina yako waliokosa adabu na heshima,
Hizi hasira mnazokuwa nazo kwa wananchi wenzenu wakifanya mambo ya kipuuzi mngeweza pia kuzielekeza kwa viongozi wenu wa nchi wanavyofanya mambo ya kipumbavu kama taifa tungepiga hatua kadhaa mbele.
 
Back
Top Bottom