Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Kiongozi gani aliyewatukana watanzania chini ya uongozi wa Rais wetu mpendwa mama Samia?Hivi mbona viongozi wakitutukana na kutuambia tuhamie Burundi ccm hamuonyeshi hizi hasira?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar...
Wanachoweza ni kuwapakazikia kesi chademaNimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana...
Kwamba wewe ndo unatikisa makalio au unataka semajePascal Mayalla johnthebaptist hii ni sawa?
π―watanzania ndio tumefikia huku? Yule ni mkuu wa nchi mzee...Heshima apeweKwamba wewe ndo unatikisa makalio au unataka semaje
Basi ni wewe unatikisa sasaπ―watanzania ndio tumefikia huku? Yule ni mkuu wa nchi mzee...Heshima apewe
Poa tuBasi ni wewe unatikisa sasa
Wale walikuwa wanailinda ajali.Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Unafki tu umewajaaa watanzania na uchawa, imagine una ndugu yako mle utaendelea kulamba mipododo ya watawala au utaongea your mind?Hizi hasira mnazokuwa nazo kwa wananchi wenzenu wakifanya mambo ya kipuuzi mngeweza pia kuzielekeza kwa viongozi wenu wa nchi wanavyofanya mambo ya kipumbavu kama taifa tungepiga hatua kadhaa mbele.
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
So sad halaf Linda na mdogo wake jamani hii nchi ukipata emergency ni sawa na umekufa tu na wala hawaoni aibu imagine aljazeera inaonyesha raia wanavuta ndege kwa kamba seriously???? Rip Linda and Aneth[emoji24]Pamoja na juhudi za Capt Luhaga kupeleka ndege ziwani mita chache kutoka Airport akiamini hapo ndipo watapata msaada kwa linalokwenda kutokea lakini imekuwa kinyume sana kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika. Kama nchi tujitafakari sana. RIP Linda
Aisei! Kabisa unaona huu ni uhuru wa maoni?Hao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.
Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Aiseiii! Huo ni uhuru wa maoni? Umeandika kwa kusudia au kichwa kilikumbwa na 'mabadiliko ya tabianchi?' Ukiweza futa utakuwa na busara mno.πππHao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.
Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Zile njemba zimetia aibu, sina hakika kama wanatambua majukumu yao, pengine serikali ina Jambo lake.Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
ππππSo sad halaf Linda na mdogo wake jamani hii nchi ukipata emergency ni sawa na umekufa tu na wala hawaoni aibu imagine aljazeera inaonyesha raia wanavuta ndege kwa kamba seriously???? Rip Linda and Aneth[emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.
Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Duh! Swalallah wallei[emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao JWTZ ni vilaza watupu,