Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Wale walikuwa wanailinda ajali.
 
Hizi hasira mnazokuwa nazo kwa wananchi wenzenu wakifanya mambo ya kipuuzi mngeweza pia kuzielekeza kwa viongozi wenu wa nchi wanavyofanya mambo ya kipumbavu kama taifa tungepiga hatua kadhaa mbele.
Unafki tu umewajaaa watanzania na uchawa, imagine una ndugu yako mle utaendelea kulamba mipododo ya watawala au utaongea your mind?
 
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
 
Attachments

  • 28B0E456-1B31-4B9E-B0D8-58A60D4FC4CF.jpeg
    28B0E456-1B31-4B9E-B0D8-58A60D4FC4CF.jpeg
    21.1 KB · Views: 3
Pamoja na juhudi za Capt Luhaga kupeleka ndege ziwani mita chache kutoka Airport akiamini hapo ndipo watapata msaada kwa linalokwenda kutokea lakini imekuwa kinyume sana kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika. Kama nchi tujitafakari sana. RIP Linda
So sad halaf Linda na mdogo wake jamani hii nchi ukipata emergency ni sawa na umekufa tu na wala hawaoni aibu imagine aljazeera inaonyesha raia wanavuta ndege kwa kamba seriously???? Rip Linda and Aneth[emoji24]
 
Hao JWTZ ni vilaza watupu,

Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.

Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.

Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Aisei! Kabisa unaona huu ni uhuru wa maoni?
Hao JWTZ ni vilaza watupu,

Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.

Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.

Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Aiseiii! Huo ni uhuru wa maoni? Umeandika kwa kusudia au kichwa kilikumbwa na 'mabadiliko ya tabianchi?' Ukiweza futa utakuwa na busara mno.🙏🙏🙏
 
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Zile njemba zimetia aibu, sina hakika kama wanatambua majukumu yao, pengine serikali ina Jambo lake.
 
So sad halaf Linda na mdogo wake jamani hii nchi ukipata emergency ni sawa na umekufa tu na wala hawaoni aibu imagine aljazeera inaonyesha raia wanavuta ndege kwa kamba seriously???? Rip Linda and Aneth[emoji24]
😭😭😭😭
 
Hao JWTZ ni vilaza watupu,

Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.

Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.

Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh! Swalallah wallei[emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom