Tetesi: Wale Askari waliomfanyia fujo barabarani Raia, wavuna walichopanda

Kabisa mkuu, kazi ilikuwa na heshima sana, maafisa waliwanyenyekea raia na kuwathamini, maafisa wa TISS wa enzi zile walijua kujishusha na kuishi na watu vizuri

Zimekwenda zama zile ambapo rais alikuwa Nyerere, wasiojulikana hawakuzurura mitaani kupoteza watu, kina jenerali Sabaya hawakupata dhamana za uongozi, katiba ya nchi ilikuwa msahafu na kipaumbele, tukishindana na kushawishiana kwa hoja.
 
HUYU MUNISHI DAMU ZA WATU ALIOKUWA ANAWAUWA ALIPOKUWA JAMBAZI ZINAMTESA AMEKUWA HAELEWEKI KABISA YAANI KUMUAMINI MUNISHI NI UJINGA
 
HUYU MUNISHI DAMU ZA WATU ALIOKUWA ANAWAUWA ALIPOKUWA JAMBAZI ZINAMTESA AMEKUWA HAELEWEKI KABISA YAANI KUMUAMINI MUNISHI NI UJINGA

Achilia mbali "disclaimer" kibao ulizowekewa.

Nikadhani ujinga zaidi ni kuwaacha wahuni kama hawa kazini. Au wewe huoni hivyo ndugu?
 
Hivi kwa TZ hii na kwa aina ya kazi za hao jamaa wanaweza kupoteza kazi yao kwa gharama ndogo kiasi hicho?
 
Hivi kwa TZ hii na kwa aina ya kazi za hao jamaa wanaweza kupoteza kazi yao kwa gharama ndogo kiasi hicho?

Gharama ipi unayoiongelea au unamaana kuwa "kwanza huyu dogo ni kinyangarika tu?"
 
Hawa watu wajifunze jambo kwamba mambo ya hovyo yamerejea ila sio kila mtu anaweza kufanya jambo la hovyo ni kwa vijana wa ccm tu tena wale wanaosifia awamu ya 6. juzi wanajeshi wamepiga raia,wakawekwa kati baadhi wakaponyoka mpaka polisi wanafika wakawakuta wawili chini ya ulinzi wa watanganyika.
 
Dah!hii nchi ina wanajeshi waoga sana, kwahiyo watanganyika waliwaweka kizuizini wanajeshi bila uoga wowote?
 
Poa
 
Bandiko limesheheni "disclaimer" tokea utosini hadi kwenye gumba.

Ama kweli wahuni mmeguswa.

Tambueni kwa kuwa hamfai.

Habari ndiyo hiyo.
Naona unaandika mipasho tu mkuu, ww una verification ya hiyo taarifa?
 
Kama sio chai hii, sijui!
Nini kisichowezekana chini ya jua mkuu?

Wengine huita "decoy." Kibongo bongo wakiita kupotezana maboya.

Yote yanawezekana mkuu, rejea tahadhari na maonyo yote kwenye mada.
 
Poa.Mi mwenyewe wachini tu sipendi manyanyaso kwakwel.

Japo mkuu, haki ni haki kama ambavyo udhwalimu ni udhwalimu tu bila kujali mtenda au mtendwa ni wa juu au chini.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…