Tetesi: Wale Askari waliomfanyia fujo barabarani Raia, wavuna walichopanda

Tetesi: Wale Askari waliomfanyia fujo barabarani Raia, wavuna walichopanda

Hakuwa jambazi, alikuwa anaisema serikali ya Mwalimu vibaya.

Munishi na Shehe Yahaya wakafukuzwa nchini, ni kama aliwaombea uraia kwa mzee jomo Kenyatta.

Huo ujambazi alikuibia nini? mwanangu
Munishi kabla ya kuokoka ( Kujifanya ameokoka ) alikuwa Jambazi, akiwa na wale majamaa anaowaimbaga kina Malebo.

Suala la kuhamia Kenya ni Ni jingine.
 
unajiharibia kazi kwa masuala yakijinga kabisaa,inamaana mlikuwa hamjui dunia ya sasa kama kijiji watu wanarekodi matukio wanatuma mitandaoni,mmelidhalilisha jeshi
 
Ukweli taarifa ni nzuri endapo itakuwa na ukweli...

Hii nchi watu wanatumia madaraka yao vibaya sana....

Na ile taasisi huwa haihitaji sana kusemwa semwa midomoni kwa mambo mabaya,,, ila naona siku hizi imekuwa sio siri tena.. Wafanyakazi wengi wanajulikana mitaani.... Nadhani kuna namna watu waliingizwa kwa vimemo so weledi haupo tena..
 
Munishi mbona nasikia Malebo amekubali kuokoka [emoji849][emoji848]
 
Back
Top Bottom