Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Wanawake wengi (japo si wote) asilimia kubwa ni selfish linapokuja suala la kutumia kipato chake kwa ajili ya familia.. mda mwingine mwanaume usawa unakaba huna hata shilingi lakini mkeo hawezi kukusaidia hata kama pesa anayo... wengi tunapitia changamoto hizi lakini tunavumilia.
 
Wewe ukishatoa Supply zote za nyumbani na watoto basi hudaiwi kitu umeshatimiza wajibu wako wa kuletwa hapa Duniani.
 
Nyumbani anarudi amechoka( which is true), watoto wanalelewa na Houde girl kama mayatima na bado hizo pesa anazotafita hazina faid kwa familia.

Nilikuwa mjanja sana kuoa House Wife ambaye ananipa huduma zote mimi King wake.
She is my Queen in my small Palace.
 
Hii ni kweli.

Tena unakuta anakuzidi na kipato na bado hawezi kununua Mafuta ya kupikia na anakukazia kabisa.
 
Hatukatai mume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia ila mwanamke mwenye kipato lazima awe supportive ndio maana ya msaidizi
Hatukatai kufanya kazi na kuingiza kipato


Sasa kama anarudi amechoka anashinda kazini( kazi zinachosha sio madihala), dyudyu unaila kwa ratiba tena kwa wasi wasi sana.

Then Hela nazo hazidanyi kazi ya kifamilia sasa huyu mtu ana faida gan?

Kama faida ni kuzaa mbona hata panya wanazaa?

Faida za kuoa primary kabisa ni kupiga dyudyu na kutuliza nafsi.

Mengine ni nyongeza tu
 
Wanawake wengi (japo si wote) asilimia kubni selfish linapokuja suala la kutumia kipato chake kwa ajili ya familia.. mda mwingine mwanaume usawa unakaba huna hata shilingi lakini mkeo hawezi kukusaidia hata kama pesa anayo... wengi tunapitia changamoto hizi lakini tunavumilia.
Hii ni kweli.

Tena unakuta anakuzidi na kipato na bado hawezi kununua Mafuta ya kupikia na anakukazia kabi

Hii ni kweli.

Tena unakuta anakuzidi na kipato na bado hawezi kununua Mafuta ya kupikia na anakukazia kabisa.
Na ndo maana kama vijana au wanaume tusiendekeze nyege in our 20s and early 30s katika kipindi hiki tujitafute na tuwekeze vya kutosha ili tuwe na uhakika wa kuwa na kipato kizuri kuanzisha familia. Hii itatujengea kujiamini na kutoitegemea pesa ya mwanamke. Kumbukeni kuoa mabikra wazee mkishajipata 🤣.
 
Hii pointi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…