Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Wanawake ni wepesi sana kusahau wema na kukumbuka mabaya
 
Wanawake ni wepesi sana kusahau wema na kukumbuka mabaya
Hapana sio kwamba ni wepes wa kusahau, huwa wanakusudia kukuharibu na kukuchafua makusudi sasa ni vile tu kuna time wakikukuta smart ndio wana fail. Na ndio nikaamin kuwa sio kila kitu unapaswa kumwambia mkeo, mfano mimi wife hakua anajua kuwa i document everything i do, mpaka pesa nikitoka nao out as family i always have a journal kwa ajil ya ku review habit yangu kimatumiz ili kujikosoa, laiti kama angejua hili naamini asingenizulia uzushi huo ili kuniharibia image yangu, plus anaongea kwa hisia unaweza sema kwel anateseka nikawa tuliii namcheck tu, alipomaliza nika pull out my files. Aliaibika sana
 
Hivyohivyo hata mahakamani ukisikiliza kesi za madai ya talaka ukianza kumsikiliza mwanamke kwanza unaweza kusema mume wake ni shetani, ila ukija kumsikiliza na mwanaume akiongea ndo utagundua mwanamke ndo mbaya ila ni bingwa wa kubadilisha maneno na kutia huruma
 
Ni kweli nakubali. Nilikuaga nayakataa haya maneno zaman nikisikia mtu anaeleza, mpaka baada ya sasa kuyashuhufia binafsi
 
Shida nini mkuu,mwisho wa mwezi wote si mnaweka hela mezani mnazipangia matumizi?
Huwezi pangia pato la mke wako matumizi kwa shuruti, labda tu awe na moyo wake safi, malengo ya kuifikisha familia yake mbali na kwa moyo mmoja afu mwanaume awe hana cheating zile za kipumbavu mpaka mkewe anajua, hapo mtapanga vizuri na atakuwa na moyo kabisa wa kusaidiana
 
Bikra muhimu✊️
 
Namshukuru Mungu wa mbinguni sababu baadhi yetu tumebarikiwa kupata wenza sahihi sana, tchaaah'..!🙌
Hongera sana. Usahihi sana unaanza kwenye pesa kwanza. Vinginevyo angekuwa ng'ombe kama ng'ombe wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…