Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Mi niliwekeza Dom na Chato..nilichukua mkopo sasa nasubiri nyumba yangu iuzwe na benki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji11]pole sana kumbe ndo maana una hasiraa!
Sasa we ukwekeze chato!!!!kwenu hukukuona?![emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Dodoma labda labda tufanye kitovu cha biashara ili kuweza kukuza mzunguko biashara zote za inter regional zifanyike pale
 
Hayo unayoongea ni uongo!! Dodoma ni moto bro, Tena fire ile moto. Mji huu ni zaidi ya vile unavyofikiria acha propaganda na chuki.in next five years naiona Dodoma mbali sanaaaa. Kodi hapa sio za kitoto lazima ujipange.
 
Tatzo nyie mnajtetea na maeneo ya hapo town tu na sio dodoma yote
 
Hayo unayoongea ni uongo!! Dodoma ni moto bro, Tena fire ile moto. Mji huu ni zaidi ya vile unavyofikiria acha propaganda na chuki.in next five years naiona Dodoma mbali sanaaaa. Kodi hapa sio za kitoto lazima ujipange.
Sensa ya Mwakani inaweza iweka Dom City Second to Dar au nyuma kidogo ya Mwanza kama Jiji la pili Kwa ukubwa, uchumi na idadi ya watu..

Maana so far in terms of Mapato ya Jiji ,Dom ni second to Dar.
 
Hayo unayoongea ni uongo!! Dodoma ni moto bro, Tena fire ile moto. Mji huu ni zaidi ya vile unavyofikiria acha propaganda na chuki.in next five years naiona Dodoma mbali sanaaaa. Kodi hapa sio za kitoto lazima ujipange.
Nyie mnajitetea na hayo maeneo ya town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…