Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Lile jua ni balaa linawaka mapema asubuhi kali, ardhi ina magadi ya kutosha, serikali iliyokuwa ya kizalendo haiwezi kuendelea kumwaga mabilioni ya shilingi jangwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jua la Dodoma utalilinganisha na la Dubai au Cairo? Hii mitandao imetuletea wajinga wengi mnooo!!!
 
Jua la Dodoma utalilinganisha na la Dubai au Cairo? Hii mitandao imetuletea wajinga wengi mnooo!!!
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.

Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.

Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]

Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Wewe ni mpumbavu mkubwa sana,unasema maamuzi ya mtu mmoja kweni wewe hukuwahi kujua kwamba Dodoma ndiyo makao makuu toka kipindi cha Nyerere?

Wewe ninlimtu lijinga lijinga
 
Tatizo watu wetu wako brainwashed na vitu vya nje na rushwa rushwa tu tulikuwa tunaweza fanya vizuri sana lakini dah tuishi tu
Kosa ni kuweka wapumbavu wengi madarakani! System ya serikali inatakiwa iwape wananchi control sio kama ilivyo sasa serikali ina sauti kuliko watu waliowaweka kwenye dolla!
 
Basically hali ya hewa kwa kipindi Fulani cha mwaka sio nzuri sana!! Pia ilikuwa hakuna umuhimu sana kwenye dunia ya Mtandao kuwarundika na kuweka wizara zote sehemu moja!! Kwa mawazo ya walio wengi ingependeza wizara ziwe kama ifuatavyo; Hazina DSM, uvuvi Mwanza, Utalii Arusha, Uchukuzi DSM, Misitu Morogoro, Madini Geita, Tamisemi mama LA mawizara Dodoma, Elimu Dodoma, Muungano na Mambo ya nje DSM
Vyote tufanyavyo duniani huwa tunaiga kutoka kwa wengine na baadae kuboresha zaidi, huo mpangilio wako huko nchi gani ?
 
Nilishangaa sana kuona mwisho wa daladala ni saa tatu [emoji58]
Mkuu daladala hata zisipokuwepo kabisa kwangu hazina umuhimu, nataka night shift route kutoka na kuingia hapo Dom.
 
Musoma kwa baba yako mbwa wewe
Sie kwetu Mara tunajua thamani ya ardhi," warisya" kama wewe ni kupelekwa " kibhaga" wakatahiriwe.Ukiwa na govi hata uwezo wa kufikiri hupungua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dodoma ni mji mzuri sioni ubaya wake kihivyo. Pia kuhusu nyumba , Dodoma Kuna uhaba mkubwa wa nyumba na gharama za kupanga ni kubwa Sana.
Nyumba ya kawaida tu si chini ya 300k
Na hii haijatokana na serikali kuhamia huko bali ndio maisha ya huko yalivyo kwa muda mrefu.
Dodoma ni mji wa gharama Sana
Pia kuhusu Dar, watu wote hawawezi kuishi dar. Watu wapo wanafanya kazi namanyere, kalambo, tandahimba, buhigwe, ngara, uvinza n.k na maisha yanaenda vizuri tu.
Wote hao wakiwa na mawazo Kama yako basi hakutakua na Maendeleo.
300k.... Kwa siku ???
 
Unajua unapo bwabwaja bila facts unaonekana mpumbavu kati ya wajinga. Soma hapa
Mr. Charles Pfizer aliye zaliwa mwaka (1824–1906) sasa hivi yuko wapi na hayo matunda ya hiyo chanjo?

kiwanda chenyewe kilianzishwa kama miaka 172 iliyo pita January 1, 1849; huko New York City.

haya nawe njoo na ukweli wako
Wewe ndiye unaonekana mpumbavu kati ya wajinga . Huyo mwanzishi ana uhusiano gani na kuwekeza kwenye hiyo chanjo? Unajua ma-share holders wa kampuni wewe? Hizi elimu za Bongo za kukariri ndiyo matokeo yake haya. Unakimbilia ku-google mwanzilishi wa kampuni wakati kuna watu wenye share holders kubwa ambao walijiunga miaka ya karibuni tu! Pumbavu kabisa. Unadanganya watu eti wenye zaidi ya miaka 45 wakiwekeza basi wajukuu na watoto ndiyo wanapata faida. Wenye Google au Facebook waliwekeza miaka 45 iliyopita? Unaweza kununua share kwenye kampuni yoyote na baada ya mwaka ukapata faida kubwa kabisa. Walionunua Bitcoin mwanzoni ikiwa bei chini na sasa ni mamilionia, wengine hata watoto hawajapata.
 
Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.

Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.

Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]

Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Samia alazimishwe kufanyie kazi Dodoma
 
Nipo Dar,but nilipo ona jina ni MAYUNGA[emoji38],MOSHI ni mkoa..nikaanza kufuatilia comments zake...[emoji38][emoji38]hawa kina mayunga ndio kila siku huku Dar tunawapiga pesa pale Garden Samora
 
Wewe ni mpumbavu mkubwa sana,unasema maamuzi ya mtu mmoja kweni wewe hukuwahi kujua kwamba Dodoma ndiyo makao makuu toka kipindi cha Nyerere?

Wewe ninlimtu lijinga lijinga
Nijue hil inisaidie nini
 
Back
Top Bottom