Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #261
Nan atamlazimisha sasa [emoji3][emoji3]akili zako bhanaSamia alazimishwe kufanyie kazi Dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan atamlazimisha sasa [emoji3][emoji3]akili zako bhanaSamia alazimishwe kufanyie kazi Dodoma
Inawezekana hata baba yako ni mfanyakazi wanguNipo Dar,but nilipo ona jina ni MAYUNGA[emoji38],MOSHI ni mkoa..nikaanza kufuatilia comments zake...[emoji38][emoji38]hawa kina mayunga ndio kila siku huku Dar tunawapiga pesa pale Garden Samora
Ndo hivyoKasema ukweli kabisa huyu Msukuma Mayunga234
kama ulikuwa ni Mfanyakazi wa Serikalini na mfanyabiashara ukawekeza kwenye nyumba kweli hasara, bora ungewekeza Dsm huko Kigamboni au Kijichi au vikindu
Mkurugenzi aliyepita (Mbunge) alipima viwanja 90,000. bado vimebuma
Mkurugenzi mwenzake (Mkuu wa Wilaya) alifukuza wapangaji wa nyumba za Kikuyu Flats (Magorofa mengi) na nyumba zote za TBA km Uzunguni na area C bado zipo wazi hazina wapangaji na bei ni chee kabisa.
Kodi kwa Sellf yenye Geti ilikuwa 400,000/ sasa mpaka 200,000/ na hakuna wapangaji,
usiseme vyumba vya ofisi wanapima kwa sq meter 20,000/ hakuna wapangaji majengo kibao ya ya Hifadhi za jamii utaenda ni tupu
Hao Mabalozi wa Nchi za Nje hata wa zambia tu hawajaja na huenda wameuza na kiwanja naona parking wamefanya
Mama kamwaga mwingi jipangeni upya
Hii chai mkuuKasema ukweli kabisa huyu Msukuma Mayunga234

Boss samahani kwenu kabisa ni wapi?Dodoma ni mji mmoja wa hovyo kabisa
mkuu kila hatua inafursa yake punguza kukaririMimi Dodoma nikafate nini huko Jangwani
Hivi kweli nihame kigamboni niende dodoma si ntakuwa na malaria iliyopanda kichwani
IPO Scotland ndugu!! Fanya study tour utapata MengiVyote tufanyavyo duniani huwa tunaiga kutoka kwa wengine na baadae kuboresha zaidi, huo mpangilio wako huko nchi gani ?
Hahahah wewe jamaaa [emoji3][emoji3]Hivi kabisa mtu ukakae Dodoma kwanza maana ya Dodoma ni kuzama halafu unaenda zamisha maisha yako kwenye mji wa ombaomba. Kweli shetani Magufuli aliwavua akili.
Sio yote, kule just juu Kama unatokea chamwino kunaitwaje ? Kuna vijumba vingi vina jengwa planned kabisaaa...Makulu ni uswahilini kichiz..hakuna hata baa au lodge ya maana....ni kama tandale flani
By the way kwa hizi za DSM hakuna new investment no watu kufanya fumigation majengo yao na kuhamia!! Fikiria baadhi ya wizara zilikuwa ndio zimemalizia majengo yao na kutakiwa kwenda kuishi kambini Dodoma-udom (shame) hii kwa kiasi Fulani ilirudisha maendeleo ya nchi nyuma! Ule ulikuwa uaamuzi wa kukur.....aBasically hali ya hewa kwa kipindi Fulani cha mwaka sio nzuri sana!! Pia ilikuwa hakuna umuhimu sana kwenye dunia ya Mtandao kuwarundika na kuweka wizara zote sehemu moja!! Kwa mawazo ya walio wengi ingependeza wizara ziwe kama ifuatavyo; Hazina DSM, uvuvi Mwanza, Utalii Arusha, Uchukuzi DSM, Misitu Morogoro, Madini Geita, Tamisemi mama LA mawizara Dodoma, Elimu Dodoma, Muungano na Mambo ya nje DSM
Uongo mtupu. Nyumba dodoma kukosa wapangaji sio jambo la leo wala kesho.Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Tuambie wapi kuna nyumba hazina wapangaji. Sisi madalali ndi riziki yetu hiyo. Uzuri dodoma imepimwa kwa sehemu kubwa sio kama miji mingine. Tuambie block namba, namba ya kiwanja na jina la mtaa tuje fasta.wewe itakuwa ujatembea dodoma wewe
Khaaa! Punguza hasira kidogo bas doh! Unachamba kama mwanamama!!Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
una chuki na Dodoma, na unashindwa kutofautisha kati ya makao makuu ya nchi na mji wa kibiashara wa nchi, nchi ilikosea tangu mwanzo kila kitu Dar es salaam, tunatakiwa tuipanue nchi, wenzetu majiji yao yamejipambanua kila jiji linajitegemea kivyake hawarundikani sehemu mojaKipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Sidanganyi watu hizo ni facts za kiuchumi ukifanya tathmini ya unao wasema wewe na ambao wamekwisha pita ila wajukuu ndio wanao faidi wapi watakuwa wengiWewe ndiye unaonekana mpumbavu kati ya wajinga . Huyo mwanzishi ana uhusiano gani na kuwekeza kwenye hiyo chanjo? Unajua ma-share holders wa kampuni wewe? Hizi elimu za Bongo za kukariri ndiyo matokeo yake haya. Unakimbilia ku-google mwanzilishi wa kampuni wakati kuna watu wenye share holders kubwa ambao walijiunga miaka ya karibuni tu! Pumbavu kabisa. Unadanganya watu eti wenye zaidi ya miaka 45 wakiwekeza basi wajukuu na watoto ndiyo wanapata faida. Wenye Google au Facebook waliwekeza miaka 45 iliyopita? Unaweza kununua share kwenye kampuni yoyote na baada ya mwaka ukapata faida kubwa kabisa. Walionunua Bitcoin mwanzoni ikiwa bei chini na sasa ni mamilionia, wengine hata watoto hawajapata.