Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Alokuambia nyumba za Dodoma hazina wapangaji sehemu gani?acha basi hoja za hovyo au lengo mumkashifu tu mtawala aliyepita?
Vitu vingine havipendezi mtu mzima kudanganya...Dodoma hii ht kama Rais wa sasa ameikacha lakini bado mahitaji ya nyumba ni makubwa....

Acha uongo!!
Alikuwa na Mawazo ya hovyo kweli Magufuli. Dodoma Serekali ndio inahamia sio Jiji
 
Labda kama kuna Dodoma nyingine unatoilezea,Dodoma hakuna mzunguko wa pesa upangaji wa nyumba ni hafifu sana,siyo ishu ya kukashfu mtawala aliyepita,mambo ni tough.
Mkuu sio kweli kwa sasa mzunguko wa pesa Dodoma ni mkubwa sana,kumbuka pesa ya Serikali kwa sasa 90% inaenda ni kwa Watumishi wa umma- na asilimia kubwa ya watumishi wa umma wapo Dodoma.

Kila bank unayoijua kwa sasa ipo Dodoma tofauti na awali ambapo walikuwepo NMB na CRDB pekee.
 
Katika Mikoa yote Tanzania,Mikoa ya hovyo ni Dodoma&Lindi.
Dodoma vumbi unatembea umekunja macho,kila Sikh itakubidi unywe maji ya chupa
 
We jifanye kutoa pole kwa waliojenga DOM, Ila baadae utajilaumu kwa nn hukuwahi viwanja Dodoma,pale watt wako watakapokuwa wanaambiwa viwanja Dodoma vilikuwa vunauzwa mil.3,4,au 5. wakati huo havitpatkana hata mil 20.kitakachokupata....utaonekana fala kwa wanao!!! hapo ndo utajua kuwa medulla oblangata yako ilikuwa imejaa vailas .
 
Fafanua basi ukitoa mifano hai,
Wizara zimetawanywa pande zote za nchi kama njia ya kusogeza fursa kulingana na umuhimu wa eneo husika katika wizara hiyo!! Yapo mengi ya kujifunza
 
mkuu unasema ukweli

kwani mimi binafsi nilenua nyuma maeneo ya morena dodoma, dah amin naifanyia marekebisho, wateja wanakuja, kutaka kukodi hivyo hivyo

broo uwekezaji wa nyumba dodoma unalipa
 
Jipe moyo Dar ni Dar tu
Mimi nimeishi Dsm na wazazi wangu wapo huko, now naishi Dodoma,ila Dsm ina sifa mbili ambazo sijawahi kuzizoea, joto + foleni... watu wanapoteza muda mwingi sana barabarani.... sehemu ya KM 10 unawezatumia masaa mawili mpaka ma3... hali ya hewa ndio hovyooo kabisaaaa. Huwa nikipangiwa safari ya kwenda Dar nachukia sana, siwezi kutembea bila leso...mji wa hovyo kabisa.
 
Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.

Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.

Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]

Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Punguza Vant na ukizipiga acha ziishe kwanza ndo uje upost.
 
Alokuambia nyumba za Dodoma hazina wapangaji sehemu gani?acha basi hoja za hovyo au lengo mumkashifu tu mtawala aliyepita?
Vitu vingine havipendezi mtu mzima kudanganya...Dodoma hii ht kama Rais wa sasa ameikacha lakini bado mahitaji ya nyumba ni makubwa....

Acha uongo!!
Umekuja mbio na mapovu kibao lakini hujaweka ushahidi wowote to back up your story..
 
Ebu acha ujinga unaweza kucompare dodoma na moshi hivi wewe una akili timamu kwel
Bora Dodoma,kuishi vizuri Moshi mpaka uwe na Hela na hapa moshi biashara ni ngumu sana ndo maana wachaga wengi wanapakimbia wako Dodoma wanatafuta Hela waambie waondoke warudi Moshi kufanya biashara kama watakubali,huko Moshi kama hula Hela ya maana Wewe utabaki kunywa mbege tu,Bora ya dodoma unaweza kufanya biashara yoyote kuliko Moshi.
 
Ukiishi Dar unakuwa na akili kwamba pesa zote zipo Dar huko mikoani kuna watu wanapesa na hata hawana kelele
Sasa huo ni ubishi Dar economically unaweza kulinganisha na mikoani? Wewe unadhani ni kwa nini Dar pamoja na udogo kieneo bado ina watu wengi sana kushinda mikoa yote?
 
Back
Top Bottom