Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar yenyewe ina joto la kifala.....Jua la Dodoma utalilinganisha na la Dubai au Cairo? Hii mitandao imetuletea wajinga wengi mnooo!!!
Wewe jamaa mbona mshamba sana Wazungu, mpaka unakeraMzugu gan akakae sehem kuna jua kali kiasi kile
Kwenye Viwanda vingi si ni mkoa wa Pwani mbona hamuulinganishi na mikoa mengine???Hamna viwanda tatizo lazma mambo yawe magumu
Si utumie gari yako mkuu??Mkuu daladala hata zisipokuwepo kabisa kwangu hazina umuhimu, nataka night shift route kutoka na kuingia hapo Dom.
Sio tuu banks even biashara zingine zote zinazopatikana Dar is slum zimeshaanzishwa Dom.Mkuu sio kweli kwa sasa mzunguko wa pesa Dodoma ni mkubwa sana,kumbuka pesa ya Serikali kwa sasa 90% inaenda ni kwa Watumishi wa umma- na asilimia kubwa ya watumishi wa umma wapo Dodoma.
Kila bank unayoijua kwa sasa ipo Dodoma tofauti na awali ambapo walikuwepo NMB na CRDB pekee.
Wewe una roho mbaya na ya kwa nini, hutaki kuona maendeleo ya watu,Weng walikurupuka
Sio tuu maji bali hata mradi wa Ring road, airport,uwanja wa mpira na arena na barabara za dual carriage kila upande.Huo mji utakuja kutisha sana,, kama ni jua hata dubai jua kali, ,ngoja maji ya victoria yafike hapo mambo yatakuwa juu ya mambo
Ndio maana sasa tunajenga Dom Ili ku diversify fursa..Sasa huo ni ubishi Dar economically unaweza kulinganisha na mikoani? Wewe unadhani ni kwa nini Dar pamoja na udogo kieneo bado ina watu wengi sana kushinda mikoa yote?
Miaka 6 iliyopita Dom haikuwa hata na mapato kuzidi Kahama lakini kwa sasa Jiji la Dom liko second kwa Dar ,sijui watu bado wanaongea nini.Hauijui dodoma mkuu, we itakuwa ulifikia chedegwa huko ila tuliopo dom kwa muda mrefu tunaelewa kasi ya maendeleo na uwekezaji kabla na baada ya serikali kuhamia dom.
Kumbe mnatembea kwa miguu, poleni....Katika Mikoa yote Tanzania,Mikoa ya hovyo ni Dodoma&Lindi.
Dodoma vumbi unatembea umekunja macho,kila Sikh itakubidi unywe maji ya chupa
Sasa hiyo scotland si ni kama mkoa wa Tabora tu kwa ukubwa...Wizara zimetawanywa pande zote za nchi kama njia ya kusogeza fursa kulingana na umuhimu wa eneo husika katika wizara hiyo!! Yapo mengi ya kujifunza
Kweli kabisa mkuu miaka 6 iliyopita kulikuwa hapashawishi kabisa kuwekeza. Nyumba zilikuwa chache mno bila kusahau miundombinu. Wanaobisha wengi ni wale waliofika dom baada ya stendi kuhamia nane nane [emoji1]Miaka 6 iliyopita Dom haikuwa hata na mapato kuzidi Kahama lakini kwa sasa Jiji la Dom liko second kwa Dar ,sijui watu bado wanaongea nini.
Sasa italingana vipi wakati mmoja umekuwa kwa muda mrefu....Dodoma ninavyoiona ni kama mji wa kutengenezwa,Dar ni mji uliojitengeneza wenyewe,miji iliyojitengeneza yenyewe kibiashara haitetereki .....mpaka hapo haiwezi kuja kuwa sawa kibiashara hata uko mbeleni
Wapi nimeandika patakuwa pazuri kuliko Dsm?Sema patakuwa pazuri kuliko Shinyanga, Singida Songea lakini usiseme Dar.
Dar es Salaam ni future Mega City of the World
Hapana ndugu ni pa kubwa sanaSasa hiyo scotland si ni kama mkoa wa Tabora tu kwa ukubwa...
Hiyo ni imagination ya zamani kabla ya serekali Mtandao, futa mawazo ya enzi ya zamani, pia mambo mengi yapo kwa mtandao wizarani hakuna jipya labda kama una tenda ya stationary unatakiwa kwenda hapoHuo utakuwa ujinga wa Hali juu sana,mutu ana shida wizara ya Afya ,mfano wako ,hiyo iwe morogoro,akifika hapo anaambiwa tunahitanji hiki kutoka wizara ya elimu,Sasa wizara hiyo iwe kagera-bukoba huko,huoni kama ni usumbufu wajinga sana huo,nilishawahi kuomba uhamisho kutoka Kwa katibu mkuu(wizara fulani-siitaji),nikaambiwa nenda Kwa katibu mkuu tamisemi,Sasa fikiria Mmoja awe mtwara na mwingine awe kigoma na wewe uwe umetokea mara usumbufu unaoupata ukoje?,vitu vingine mfikiri kabla ya kutoa comment,wizara ukizitawanya hivyo raia na maskini ndo wataumia,ukifika hapa unaambiwa nenda wizara fulani kwanza,Sasa hapo ziwe mbalimbali utakufa na shida yako
Tabora ina ukubwa wa 76,150km² na Scotland ina 77,910km² ...... nime-guess right.Hapana ndugu ni pa kubwa sana