Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #381
OkNaishi Dodoma (siyo mzawa), ukweli ni kuwa bei ya nyumba iko juu sana, na waliowekeza kwenye nyumba wanapata pesa nzuri tu. Kuna changamoto za kufanyia kazi kama barabara na mazingira, ila kwa uwekezaji unaoendelea Dodoma, ndani ya miaka 10 Dodoma itakuwa kitu kingine. Wale wenye uwezo wa kuwekeza wanunue hata viwanja watulie, baadae itajakuwa kama wale wazee wetu waliopewa viwanja vya bure maeneo ya Sinza, wakakataa wakisema ni porini.