Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #221
Mzee humu jf sio kila mtu ni lalahoi kama weweUkute mleta mada anaishi dar kwa kupanga af anawakashifu walojenga Dom.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee humu jf sio kila mtu ni lalahoi kama weweUkute mleta mada anaishi dar kwa kupanga af anawakashifu walojenga Dom.
Unaota wewe et second to dar are you insaneSensa ya Mwakani inaweza iweka Dom City Second to Dar au nyuma kidogo ya Mwanza kama Jiji la pili Kwa ukubwa, uchumi na idadi ya watu..
Maana so far in terms of Mapato ya Jiji ,Dom ni second to Dar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa bwana mayungaMzee humu jf sio kila mtu ni lalahoi kama wewe
Shida za nini wakati hela ipoNdio hivyo Sina pesa ,wewe endelea kutembea kwenye kivuli cha Dar is slum
In sane utakuwa wewe,Takwimu zinaongea sio hisia zako we popoma.Unaota wewe et second to dar are you insane
Acha wajipe moyo maana Yale mahela yalowekezwa huku si mchezo!Mkuu hao ni wale wapumbavu ambao kwa akili zao fyatu wanadhani kuna siku eti Capital City itarudi Dar,kamwe haitakaa itokee..
Nilikuwa Dom wiki hii Jiji limekucha kuanzia kule Mji wa Serikali hadi mitaani mjini Kati kote ujenzi wa majengo na miundombinu mingine umeshika Kasi.
Mjomba alijua kuwapelekesha watu wazima na vitambi vyaoKumtegemea mtu n tatzo,huku kwetu kuna mtu alimtegemea mwendazake akafanya uwekezaj wa hatari akitegemea kuna sku mwendazake angemzingua mpinzan wake na ashindwe kufanya biashara abak peke yake ili apige hela,ajabu mwendazake kafa mapema,sasa sjui hiyo ndoto yake ya kubak peke yake itafanikiwa.
Maana mpinzan wake yupo katika mazingira ambayo anaweza kuzinguliwa maana kuna mahakama kuu,reli pia anaweza ambiwa hawatak kuona magar makubwa mjini hvyo hataweza kubeba magar makubwa
Endelea kuzila sasa unawashwa na Dom kwa nini,si Baki huko huko Dar is slum kula pesa?Shida za nini wakati hela ipo
Jina lake Mayunga, hawa ndio wale wa Iselamagazi kufika Dar anajiona mjanjaaaa.kuna picha za Dubai miaka 50 iliyopita na Dubai ya sasa hapo ndo atajua hana anachokijua.Mmhhh we ndio wale wale umezaliwa pwani,umesoma pwani,umeoa pwani mzaramo mwenzio,hujawahi kuvuka zaidi ya chalinze,Dodoma huijuhi.
Dodoma nyumba zinatafutwa kwa udi na uvumba,na soko,demand ya kupanga ni kubwa sana,
Mi mdau wa nyumba,kuanzia kisasa,area c,uzunguni,meliwa,mtumba,kote huku vyumba na nyumba zinatakiwa sana na mahitaji ni makubwa.
Usisikilize story za vijiweni.Tembelea Dodoma ujionee,fika eneo linaitwa kisasa ujionee,
Watu wanakuja wanaona nyumba,wanapanda dau wakupe 600K kwa mwezi,wachukue nyumba kwa miaka mitano,we amia kwingine!!
Wewe endelea kutangaza hiyo Lodge mimi siwezi bishana na mfanya usafi wa LodgeIn sane utakuwa wewe,Takwimu zinaongea sio hisia zako we popoma.
wewe endelea kufua shahawa za wanaume wenzakoEndelea kuzila sasa unawashwa na Dom kwa nini,si Baki huko huko Dar is slum kula pesa?
Sawa kabisa ila karibu hapa lodge ufurahie maishaWewe endelea kutangaza hiyo Lodge mimi siwezi bishana na mfanya usafi wa Lodge
Brother mimi sio type yako na usidhan kila mtu ni fala kama weweJina lake Mayunga, hawa ndio wale wa Iselamagazi kufika Dar anajiona mjanjaaaa.kuna picha za Dubai miaka 50 iliyopita na Dubai ya sasa hapo ndo atajua hana anachokijua.
Ubangaizaji unaweza kufa na njaa au sio?Pa hovyo sana kule ukienda kuishi labda uwe mwajiriwa ila biashara mmh hapana
Siwezi kuja kulala vilogde vya kifala hivyoSawa kabisa ila karibu hapa lodge ufurahie maisha
Jua likikupiga tu unakosa directionUbangaizaji unaweza kufa na njaa au sio?
Hamna viwanda tatizo lazma mambo yawe magumuDodoma labda labda tufanye kitovu cha biashara ili kuweza kukuza mzunguko biashara zote za inter regional zifanyike pale
Uko sahihi mkuu ,huku Dom kila mtu anakufa na Njaa ila hapo Dar mnamwaga msosi kwanza huko Dar is Slum kila mtu ana pesa chafu 🏃🏃Ubangaizaji unaweza kufa na njaa au sio?