Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Nipo Dar,but nilipo ona jina ni MAYUNGA[emoji38],MOSHI ni mkoa..nikaanza kufuatilia comments zake...[emoji38][emoji38]hawa kina mayunga ndio kila siku huku Dar tunawapiga pesa pale Garden Samora
Inawezekana hata baba yako ni mfanyakazi wangu
 
Kasema ukweli kabisa huyu Msukuma Mayunga234
kama ulikuwa ni Mfanyakazi wa Serikalini na mfanyabiashara ukawekeza kwenye nyumba kweli hasara, bora ungewekeza Dsm huko Kigamboni au Kijichi au vikindu
Mkurugenzi aliyepita (Mbunge) alipima viwanja 90,000. bado vimebuma
Mkurugenzi mwenzake (Mkuu wa Wilaya) alifukuza wapangaji wa nyumba za Kikuyu Flats (Magorofa mengi) na nyumba zote za TBA km Uzunguni na area C bado zipo wazi hazina wapangaji na bei ni chee kabisa.
Kodi kwa Sellf yenye Geti ilikuwa 400,000/ sasa mpaka 200,000/ na hakuna wapangaji,
usiseme vyumba vya ofisi wanapima kwa sq meter 20,000/ hakuna wapangaji majengo kibao ya ya Hifadhi za jamii utaenda ni tupu
Hao Mabalozi wa Nchi za Nje hata wa zambia tu hawajaja na huenda wameuza na kiwanja naona parking wamefanya
Mama kamwaga mwingi jipangeni upya
 
Ndo hivyo
 
Hii chai mkuu
 
Mimi Dodoma nikafate nini huko Jangwani
Hivi kweli nihame kigamboni niende dodoma si ntakuwa na malaria iliyopanda kichwani
mkuu kila hatua inafursa yake punguza kukariri
 
Hivi kabisa mtu ukakae Dodoma kwanza maana ya Dodoma ni kuzama halafu unaenda zamisha maisha yako kwenye mji wa ombaomba. Kweli shetani Magufuli aliwavua akili.
 
Hivi kabisa mtu ukakae Dodoma kwanza maana ya Dodoma ni kuzama halafu unaenda zamisha maisha yako kwenye mji wa ombaomba. Kweli shetani Magufuli aliwavua akili.
Hahahah wewe jamaaa [emoji3][emoji3]
 
By the way kwa hizi za DSM hakuna new investment no watu kufanya fumigation majengo yao na kuhamia!! Fikiria baadhi ya wizara zilikuwa ndio zimemalizia majengo yao na kutakiwa kwenda kuishi kambini Dodoma-udom (shame) hii kwa kiasi Fulani ilirudisha maendeleo ya nchi nyuma! Ule ulikuwa uaamuzi wa kukur.....a
 
Uongo mtupu. Nyumba dodoma kukosa wapangaji sio jambo la leo wala kesho.
 
wewe itakuwa ujatembea dodoma wewe
Tuambie wapi kuna nyumba hazina wapangaji. Sisi madalali ndi riziki yetu hiyo. Uzuri dodoma imepimwa kwa sehemu kubwa sio kama miji mingine. Tuambie block namba, namba ya kiwanja na jina la mtaa tuje fasta.
 
uliyoyaandika sio kweli, dodoma nyumba ni adimu sana. Wazawa walijenga nyumba za tope hapa mjini..hivyo ukitaka kupanga unakosa nyumba hata ukipata gharama ni kubwa sana. Kiukweli nimekaa mwaka wa 3 hapa ila kwa mimi hapanifai, dom pagumu sana. Kuanzia hali ya hewa n.k
 
Khaaa! Punguza hasira kidogo bas doh! Unachamba kama mwanamama!!
 
una chuki na Dodoma, na unashindwa kutofautisha kati ya makao makuu ya nchi na mji wa kibiashara wa nchi, nchi ilikosea tangu mwanzo kila kitu Dar es salaam, tunatakiwa tuipanue nchi, wenzetu majiji yao yamejipambanua kila jiji linajitegemea kivyake hawarundikani sehemu moja
 
Sidanganyi watu hizo ni facts za kiuchumi ukifanya tathmini ya unao wasema wewe na ambao wamekwisha pita ila wajukuu ndio wanao faidi wapi watakuwa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…