Alikuwa na Mawazo ya hovyo kweli Magufuli. Dodoma Serekali ndio inahamia sio JijiAlokuambia nyumba za Dodoma hazina wapangaji sehemu gani?acha basi hoja za hovyo au lengo mumkashifu tu mtawala aliyepita?
Vitu vingine havipendezi mtu mzima kudanganya...Dodoma hii ht kama Rais wa sasa ameikacha lakini bado mahitaji ya nyumba ni makubwa....
Acha uongo!!
mkuu nataka chumba na sebule choo ndani dodoma,napata kwa 130k?,Labda kama kuna Dodoma nyingine unatoilezea,Dodoma hakuna mzunguko wa pesa upangaji wa nyumba ni hafifu sana,siyo ishu ya kukashfu mtawala aliyepita,mambo ni tough.
Usilinganishe wafanyabiashara wa mikoani na Dar es salaamUkiishi Dar unakuwa na akili kwamba pesa zote zipo Dar huko mikoani kuna watu wanapesa na hata hawana kelele
Mkuu sio kweli kwa sasa mzunguko wa pesa Dodoma ni mkubwa sana,kumbuka pesa ya Serikali kwa sasa 90% inaenda ni kwa Watumishi wa umma- na asilimia kubwa ya watumishi wa umma wapo Dodoma.Labda kama kuna Dodoma nyingine unatoilezea,Dodoma hakuna mzunguko wa pesa upangaji wa nyumba ni hafifu sana,siyo ishu ya kukashfu mtawala aliyepita,mambo ni tough.
Dar wengi wapiga dili ndiyo maana JPM alipobana wakaanza kelele, wafanyabiashara wa mikoani wako serious sana janjajanja hawapendiUsilinganishe wafanyabiashara wa mikoani na Dar es salaam
Fafanua basi ukitoa mifano hai,IPO Scotland ndugu!! Fanya study tour utapata Mengi
Wizara zimetawanywa pande zote za nchi kama njia ya kusogeza fursa kulingana na umuhimu wa eneo husika katika wizara hiyo!! Yapo mengi ya kujifunzaFafanua basi ukitoa mifano hai,
Acha kudanganya toa data,Dodoma nyumba zinalipa sana.hapo town nenda sehem nyingine watu wamejuta kuwekeza huko
Mimi nimeishi Dsm na wazazi wangu wapo huko, now naishi Dodoma,ila Dsm ina sifa mbili ambazo sijawahi kuzizoea, joto + foleni... watu wanapoteza muda mwingi sana barabarani.... sehemu ya KM 10 unawezatumia masaa mawili mpaka ma3... hali ya hewa ndio hovyooo kabisaaaa. Huwa nikipangiwa safari ya kwenda Dar nachukia sana, siwezi kutembea bila leso...mji wa hovyo kabisa.Jipe moyo Dar ni Dar tu
Punguza Vant na ukizipiga acha ziishe kwanza ndo uje upost.Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Huo mji utakuja kutisha sana,, kama ni jua hata dubai jua kali, ,ngoja maji ya victoria yafike hapo mambo yatakuwa juu ya mambomji wa jangwa Dom,
Umekuja mbio na mapovu kibao lakini hujaweka ushahidi wowote to back up your story..Alokuambia nyumba za Dodoma hazina wapangaji sehemu gani?acha basi hoja za hovyo au lengo mumkashifu tu mtawala aliyepita?
Vitu vingine havipendezi mtu mzima kudanganya...Dodoma hii ht kama Rais wa sasa ameikacha lakini bado mahitaji ya nyumba ni makubwa....
Acha uongo!!
Teh teh.... ipo siku wewe au familia yako, watakuja kutamani kuishi na sio kupita.Dodoma kupita njia tu uwa naona kero sembuse kuishi
Bora Dodoma,kuishi vizuri Moshi mpaka uwe na Hela na hapa moshi biashara ni ngumu sana ndo maana wachaga wengi wanapakimbia wako Dodoma wanatafuta Hela waambie waondoke warudi Moshi kufanya biashara kama watakubali,huko Moshi kama hula Hela ya maana Wewe utabaki kunywa mbege tu,Bora ya dodoma unaweza kufanya biashara yoyote kuliko Moshi.Ebu acha ujinga unaweza kucompare dodoma na moshi hivi wewe una akili timamu kwel
Iyo ni ndoto mchana kweupeMiaka 10 ijayo Dodoma itakuwa imeshaipita Dar....uwekezaji unaofanyika kule ni Mkubwa. Uwezekaji wa Dar ni watu binafsi tu. Dodoma serikali inawekeza, na watu binafsi wanawekeza.
Afadhali na jua la dodoma hautoki jasho kama Fukuto la Dsm.Lile jua ni balaa linawaka mapema asubuhi kali, ardhi ina magadi ya kutosha, serikali iliyokuwa ya kizalendo haiwezi kuendelea kumwaga mabilioni ya shilingi jangwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huo ni ubishi Dar economically unaweza kulinganisha na mikoani? Wewe unadhani ni kwa nini Dar pamoja na udogo kieneo bado ina watu wengi sana kushinda mikoa yote?Ukiishi Dar unakuwa na akili kwamba pesa zote zipo Dar huko mikoani kuna watu wanapesa na hata hawana kelele