Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Ok
 
Mh
 
Hii ni nzuri ila kwa Nchi maskini ni hasara,Wizara nyingi zinategemeana maana yake kuna kuwa na vikao vya kimenejiment vya Mara kwa Mara itahitajika ma official kupishana angani kila siku.
 
Hii ni nzuri ila kwa Nchi maskini ni hasara,Wizara nyingi zinategemeana maana yake kuna kuwa na vikao vya kimenejiment vya Mara kwa Mara itahitajika ma official kupishana angani kila siku.
Mh
 
Wewe ni mchaga pori!

Wewe John Mnyarukolo mbona unapendaga kuwahusudu sana wachaga?

Wamekukoseaga nini?

Ulipoanza kulinganisha mkoa wa Dodoma na Kilimanjaro nikajua tayari husuda zako zidi ya wachaga kama kawaida, mara kweli ona umeamua kuwataja [emoji848][emoji848]

Sasa hebu tafakari kuna uhusiano gani wa mada inayojadiliwa zidi ya kile ulichoandika cha mchaga?

Yohana bana duuh wapende tu ni waTZ wenzetu.
 
Hii ni nzuri ila kwa Nchi maskini ni hasara,Wizara nyingi zinategemeana maana yake kuna kuwa na vikao vya kimenejiment vya Mara kwa Mara itahitajika ma official kupishana angani kila siku.
Hapana ndugu, serekali imewekeza sana kwa serekali mtandao hizi zoom na aina hizo za communication tools zipo vizuri, ukisafiri ni just kupoteza muda
 
1.Foleni kubwa bank sio utibitisho wa kuwa na wateja wengi. Bank nyng hapa Tz hasa hizi traditionalbanks zina huduma mbovu na za kimazoea. Usishangae kwenda bank unakuta foleni ndeefu ya watu kumbe wote wamefata bank statement na wameambiwa mtandao unasumbua kwa hyo wasubiirie na wanaweza kaa hata masaa mawili. (Huwa na najiuliza department ya IT kwny hz bank inafanya kaz gan?

*Hvyo unaweza kuta watu wako bank kwa sabab wanasubr huduma flan over a time kwa hyo wanarundikana na kuonekana wengi lakn kama wangehudumiwa na kuondoka huwez kuta hata watu wa5 kwny foleni

2.Basi za luxury dodoma ni Shabiby, ABC na kimbinyiko only. Hyo happy nation unayozungumzia ur utterly wrong.
 
Unaijua Israel? Inaijua Dubai, inaijua Saudi Arabia, unaijua Egypt? Hiyo ni nchi za jangwa lakini hatuzifikii kwa maendeleo. Human being is a controller to the environment
Human being is a controller to the environment

Remove "TANZANIAN" from that human being
 
Exactly
 
Hapana ndugu, serekali imewekeza sana kwa serekali mtandao hizi zoom na aina hizo za communication tools zipo vizuri, ukisafiri ni just kupoteza muda
[emoji848]
 
Duh
 
Ok nambie basi luxury arusha
 
Nakuongezea kuna baraka classic, bm
 
Miaka 10 ijayo Dodoma itakuwa imeshaipita Dar....uwekezaji unaofanyika kule ni Mkubwa. Uwezekaji wa Dar ni watu binafsi tu. Dodoma serikali inawekeza, na watu binafsi wanawekeza.
Nakukumbusha tu hakuna mji duniani serikari imewekeza pekee ikaishinda majiji ya biashara. Mfano Beijing haijaishinda Shanghai, Abuja hajaishinda Lagos, Cape town na Johansburg hivyo hio ni ndoto ya alinacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…