Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Mmhhh we ndio wale wale umezaliwa pwani,umesoma pwani,umeoa pwani mzaramo mwenzio,hujawahi kuvuka zaidi ya chalinze,Dodoma huijuhi.
Dodoma nyumba zinatafutwa kwa udi na uvumba,na soko,demand ya kupanga ni kubwa sana,
Mi mdau wa nyumba,kuanzia kisasa,area c,uzunguni,meliwa,mtumba,kote huku vyumba na nyumba zinatakiwa sana na mahitaji ni makubwa.
Usisikilize story za vijiweni.Tembelea Dodoma ujionee,fika eneo linaitwa kisasa ujionee,
Watu wanakuja wanaona nyumba,wanapanda dau wakupe 600K kwa mwezi,wachukue nyumba kwa miaka mitano,we amia kwingine!!
 
Hovyo yake inatokana na nini hasa?
Umeandika as if kila mtu anajua unachofikiria kwenye kichwa yako.
Basically hali ya hewa kwa kipindi Fulani cha mwaka sio nzuri sana!! Pia ilikuwa hakuna umuhimu sana kwenye dunia ya Mtandao kuwarundika na kuweka wizara zote sehemu moja!! Kwa mawazo ya walio wengi ingependeza wizara ziwe kama ifuatavyo; Hazina DSM, uvuvi Mwanza, Utalii Arusha, Uchukuzi DSM, Misitu Morogoro, Madini Geita, Tamisemi mama LA mawizara Dodoma, Elimu Dodoma, Muungano na Mambo ya nje DSM
 
Nipe mfano wa nchi moja waliofanya hv na wakawa efficient kwny maamuzi!
 
U nailed it!bora umemuambia!
Wanaskilizaga story za vijiweni
 
wewe kenge nini itakuwa ujatembea dodoma wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]loohhh!!!!pole
 
Mtu ambaye haoni fursa ya kuwekeza Dodoma naweza nikasema, ana macho ya kimasikini au hajawahi kutembelea miji mikubwa Duniani....

Dodoma in next 10 to 30 years itakuwa kama mji Mkuu wa Botswana...
Mkuu kwamba Dodoma itakuwa Kama Gaborone
 
Mtu ambaye haoni fursa ya kuwekeza Dodoma naweza nikasema, ana macho ya kimasikini au hajawahi kutembelea miji mikubwa Duniani....

Dodoma in next 10 to 30 years itakuwa kama mji Mkuu wa Botswana...
[emoji3][emoji3][emoji3]endelea kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…