Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Sawa tatzo umezunguka hapo Town tu
 
Jiji limeshakuwa kubwa na biashara ziko busy Sana.

Hii ndio legacy pekee ya Mwendazake nayoikubali. Ukiacha Dar hakuna Jiji lingine liko busy kwa Construction kama Dom.
Hivi unaongea nini nenda pale sabasaba uone hali ilivyo ngum biashara hamna
 
Wakoloni hawajawahi kuielewa Dodoma,marais wote walijua mji huu ni kimeo , sasa unatembea mjini hakuna hata mzungu wala mchina wa maana ujue ni pakishenzi...hoteli za nyota 2 ipo moja au mbili ...pakishenzi sana kwa kweli
Mzugu gan akakae sehem kuna jua kali kiasi kile
 
Yuko wapi sasa
 
Watanzania tuache unafki sasa swali gan unaulizaaaa?
Hivi ile issue ya crdb stadium pale chato bado ipo?
Na ile crdb chato?
Kile kiwanja cha ndege nasikia kinatumiwa na watalii kwaajil yakwenda kwenye ile hifadh!
Watalii gani waache kwenda serengeti, ngorongoro waende chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…