Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Naomba nitie neno hapa

"Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage."

Tatizo ni moja tu, wanawake wameumbwa na wivu pamoja na tamaa

Hivi vitu viwili vya wivu na tamaa ndivyo vinawasukuma wadada wengi kuangukia kwenye u-single mother.
 
Hahahahah wivu una connect vp na tamaa
 
ni kweli zingatia kuzaa watoto, kuchoka hasa kukosa mvuto mfano kifua ndala, hapo ukiwa 30 mnajipangia watoto only two kuna facts za hadi unaweza kujiona kopo
 
life is changing upatikanaji wa madanga, kipato na uwepo wa masangoma unawapa jeuri, kupita kiasi waume za watu kuchepuka nao kunawapa jeuri wadada, pamoja na yote bado Duniani Mwenye Raha ya kweli ni Mwanamke na Dunia ni yao
 
Sasa Aunt si ufanye uolewe
 
Wengi waliofikia umri kuanzia 30 huwa wana mtoto, haibani, titi limeanguka kiasi, na hushindwa kutawaliwa.
So, unaweza kuolewa hata ukiwa na 50 yrs ila huko mbele kunahijika bahati, na vigezo vya ziada
 
Wanawake Dunia imebadilika, tunachopitia leo kama jamii wazungu washapitia siku nyingi. Hakuna kitu kibaya kama mwanamke wa Karne ya 21 kutegemea malengo yake kwa mwanaume. Kwamba utapata mwanaume atakaekuhudumia, kukujengea nyumba ya kuishi n.k. Simama dada yangu jiamini unaweza kufika mbali bila mwanaume au ndoa. Jiongezee thamani wanaume tutakusumbua mpaka utachanganyikiwa hajalishi umri wako. Kuna wanawake wengi Wana maendeleo makubwa na hawajaolewa. Ndoa haitakiwi kuwa kipaumbele kiasi Cha kukupotezea focus ya maisha.
 
Focus ya maisha sio universal.
Kwa wengine ndoa ndio focus ya maisha.
 
ukiwa njia sahihi ndio mpango wenyewe. Kwenye hili kila mtu na fungu lake
 
Zamani kwa sasa gundu ni single mothers mi naona ukioa mwanamke mkubwa kama ivyo ndo best nataka awe hata 32 kamaliza michezo yote anajitambua

Ila single mothers sio wa kuoa kabisa
Wanawake wa 30s na 40s wanapendwa sana na senior brothers wenye vipato na wameoa, na hata wadada hao pia hutoka na married men, muhimu hapa ni aina ya maisha alooishi hadi unakutana nae, Nguzo ya Ndoa ni Uvumilivu, Subira na kutambua ndoa ni taasisi ya kudumu na sio daraja la kufika matakwa binafsi. Wengi hukosa sifa hizo pande zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…