Kwekitui
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 1,070
- 1,083
Naomba nitie neno hapaMimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili.Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
"Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage."
Tatizo ni moja tu, wanawake wameumbwa na wivu pamoja na tamaa
Hivi vitu viwili vya wivu na tamaa ndivyo vinawasukuma wadada wengi kuangukia kwenye u-single mother.