Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Kwa experience niliyonayo,wadada wote walio above 30 wengi (sio wote) wanajitambua,ni wanajua wajibu wao kama wanawake,kibaya katika miaka yetu hii wanawake umri huo unakuta wameshakuwa na utitiri wa wanaume hivyo kama unaamua kuoa,owa at your own risk, maana swala la kufumania msg za wapezi wa zamani au kupata taarifa za maisha yake ya kuchanganya wanaume siku za nyuma sio jambo la kushangaza,pia kisaikolojia wanakuwa kama wana chuki na wanaume kwa kudanganywa na utitiri wa wanaume,kwa hiyo possibility ya kutokuwa na mapenzi ya kweli na wewe ni kubwa,zaidi ya kuhitaji tu ndoa ili atoe mkosi...
 
NDOA NI TAASISI YA KUDUMU NA SIO DARAJA LA KUFIKA MATAKWA BINAFSI
 
Ipo nadharia au msemo au ukweli usiosemwa na wanawake, ambao ni huu Mwanamke anapenda mwanaume mmoja hao wengine wote anakuwa nao kwa "Sababu" zingine nje ya upendo na hizo sababu huwa ni binafsi kwake yeye mwanamke.
 
Hizo ni namba tu ndugu yangu
 
Pole sana Aunt, Mwenyezi Mungu akupe hitajio la moyo wako
 
Focus ya maisha sio universal.
Kwa wengine ndoa ndio focus ya maisha.
Ndo narudi pale pale aliyeweka ndoa focus yake ya maisha,ni mtu ambaye anamtegemea binadamu mwenzake. Ushauri wangu upo pale pale wanawake wajiongezee thamani wataolewa. Unaweza ukafocus uolewe, ukabadili mienendo yako dada yangu lakini Kuna mahali utashindwa ku compromise. Maisha ni zawadi Mungu kakupa ishi utakavyo jipende jipe kipaumbele trust me utapata furaha ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…