Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
teh teh teh…🙄🙄🙄🙄
Umeshatoka kisiwa????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh…🙄🙄🙄🙄
Umeshatoka kisiwa????
Kwa experience niliyonayo,wadada wote walio above 30 wengi (sio wote) wanajitambua,ni wanajua wajibu wao kama wanawake,kibaya katika miaka yetu hii wanawake umri huo unakuta wameshakuwa na utitiri wa wanaume hivyo kama unaamua kuoa,owa at your own risk, maana swala la kufumania msg za wapezi wa zamani au kupata taarifa za maisha yake ya kuchanganya wanaume siku za nyuma sio jambo la kushangaza,pia kisaikolojia wanakuwa kama wana chuki na wanaume kwa kudanganywa na utitiri wa wanaume,kwa hiyo possibility ya kutokuwa na mapenzi ya kweli na wewe ni kubwa,zaidi ya kuhitaji tu ndoa ili atoe mkosi...Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah😂.
Karibuni na muwe na jpili njema...
NDOA NI TAASISI YA KUDUMU NA SIO DARAJA LA KUFIKA MATAKWA BINAFSIWanawake wa 30s na 40s wanapendwa sana na senior brothers wenye vipato na wameoa, na hata wadada hao pia hutoka na married men, muhimu hapa ni aina ya maisha alooishi hadi unakutana nae, Nguzo ya Ndoa ni Uvumilivu, Subira na kutambua ndoa ni taasisi ya kudumu na sio daraja la kufika matakwa binafsi. Wengi hukosa sifa hizo pande zote
Najutaa now nahitaji yeyote ila mradi awe anapumua(joke)[emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 Akisoma mpaka phd unue hana takoSas s ndio watu watakukimbiaa maziama ukidaka hayo mavyeti
Lindi hiyoIko wap hyo mamii,🙂🙂
Vyote vyote
Ipo nadharia au msemo au ukweli usiosemwa na wanawake, ambao ni huu Mwanamke anapenda mwanaume mmoja hao wengine wote anakuwa nao kwa "Sababu" zingine nje ya upendo na hizo sababu huwa ni binafsi kwake yeye mwanamke.Kwa experience niliyonayo,wadada wote walio above 30 wengi (sio wote) wanajitambua,ni wanajua wajibu wao kama wanawake,kibaya katika miaka yetu hii wanawake umri huo unakuta wameshakuwa na utitiri wa wanaume hivyo kama unaamua kuoa oa at your own risk, maana swala la kufumania msg za wapezi wa zamani au kupata taarifa za maisha yake ya kuchanganya wanaume siku za nyuma sio jambo la kushangaza,pia kisaikolojia wanakuwa kama wana chuki na wanaume kwa kudanganywa na utitiri wa wanume kwa hiyo possibility ya kutokuwa na mapenzi ya kweli na wewe ni kubwa zaidi ya kuhitaji tu ndoa ili atoe mkosi...
Ndo uje kunitangazia huku Jamanii, 😢😢🐅 usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Hizo ni namba tu ndugu yanguHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na jpili njema...
Jamani si nimetoa tu ushuhuda kanisani jinsi Yesu alivyokutendea makuu!!!!!Ndo uje kunitangazia huku Jamanii, 😢😢
Pole sana Aunt, Mwenyezi Mungu akupe hitajio la moyo wakoHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na jpili njema...
Dah[emoji23][emoji23]Aunt kwisha habari yako..[emoji23]
Wengi wamekuwa matapeliyani tokea unamiaka 18 unakujakukumbuka ndoa namiaka30
Sasa nifanyeje mie😀😀Khaaa!
Unacheka
Ndo narudi pale pale aliyeweka ndoa focus yake ya maisha,ni mtu ambaye anamtegemea binadamu mwenzake. Ushauri wangu upo pale pale wanawake wajiongezee thamani wataolewa. Unaweza ukafocus uolewe, ukabadili mienendo yako dada yangu lakini Kuna mahali utashindwa ku compromise. Maisha ni zawadi Mungu kakupa ishi utakavyo jipende jipe kipaumbele trust me utapata furaha ya kudumu.Focus ya maisha sio universal.
Kwa wengine ndoa ndio focus ya maisha.
Hiyo early, wengine wana hamsa.Am in my early 30s mkuu