Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah😂.

Karibuni na muwe na jpili njema...
Kwa experience niliyonayo,wadada wote walio above 30 wengi (sio wote) wanajitambua,ni wanajua wajibu wao kama wanawake,kibaya katika miaka yetu hii wanawake umri huo unakuta wameshakuwa na utitiri wa wanaume hivyo kama unaamua kuoa,owa at your own risk, maana swala la kufumania msg za wapezi wa zamani au kupata taarifa za maisha yake ya kuchanganya wanaume siku za nyuma sio jambo la kushangaza,pia kisaikolojia wanakuwa kama wana chuki na wanaume kwa kudanganywa na utitiri wa wanaume,kwa hiyo possibility ya kutokuwa na mapenzi ya kweli na wewe ni kubwa,zaidi ya kuhitaji tu ndoa ili atoe mkosi...
 
Wanawake wa 30s na 40s wanapendwa sana na senior brothers wenye vipato na wameoa, na hata wadada hao pia hutoka na married men, muhimu hapa ni aina ya maisha alooishi hadi unakutana nae, Nguzo ya Ndoa ni Uvumilivu, Subira na kutambua ndoa ni taasisi ya kudumu na sio daraja la kufika matakwa binafsi. Wengi hukosa sifa hizo pande zote
NDOA NI TAASISI YA KUDUMU NA SIO DARAJA LA KUFIKA MATAKWA BINAFSI
 
Kwa experience niliyonayo,wadada wote walio above 30 wengi (sio wote) wanajitambua,ni wanajua wajibu wao kama wanawake,kibaya katika miaka yetu hii wanawake umri huo unakuta wameshakuwa na utitiri wa wanaume hivyo kama unaamua kuoa oa at your own risk, maana swala la kufumania msg za wapezi wa zamani au kupata taarifa za maisha yake ya kuchanganya wanaume siku za nyuma sio jambo la kushangaza,pia kisaikolojia wanakuwa kama wana chuki na wanaume kwa kudanganywa na utitiri wa wanume kwa hiyo possibility ya kutokuwa na mapenzi ya kweli na wewe ni kubwa zaidi ya kuhitaji tu ndoa ili atoe mkosi...
Ipo nadharia au msemo au ukweli usiosemwa na wanawake, ambao ni huu Mwanamke anapenda mwanaume mmoja hao wengine wote anakuwa nao kwa "Sababu" zingine nje ya upendo na hizo sababu huwa ni binafsi kwake yeye mwanamke.
 
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah[emoji23].

Karibuni na muwe na jpili njema...
Hizo ni namba tu ndugu yangu
 
Pole sana Aunt, Mwenyezi Mungu akupe hitajio la moyo wako
 
Focus ya maisha sio universal.
Kwa wengine ndoa ndio focus ya maisha.
Ndo narudi pale pale aliyeweka ndoa focus yake ya maisha,ni mtu ambaye anamtegemea binadamu mwenzake. Ushauri wangu upo pale pale wanawake wajiongezee thamani wataolewa. Unaweza ukafocus uolewe, ukabadili mienendo yako dada yangu lakini Kuna mahali utashindwa ku compromise. Maisha ni zawadi Mungu kakupa ishi utakavyo jipende jipe kipaumbele trust me utapata furaha ya kudumu.
 
Back
Top Bottom