Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ngoja huna hata boy friends au unao wengi unachagua na kusagura bado?

Issue kuubwa hapo ni complication za uzazi above 30 zipo nyingi sana kuliko hawa 20's
 
Hata kama nimechelewa ngoja niandike kisha turudi Namanyere


Iko wazi, kama huna malengo ya msingi katika ndoa unaweza olewa muda wowote hata ukiwa na miaka 50 wala huhitaji kupanic. Shangazi yangu aliolewa akiwa na miaka 56 na anasifia mpaka leo kuwa ndoa ni paradiso.


Lakini kama una malengo ya msingi katika ndoa na unataka yatimie kwa wakati unaofaa basi asikudanganye mtu jitahidi isiwe zaidi ya miaka 35 uwe tayari in.

Na kwenye umri wa zaidi ya 36 utampata mwanaume ambaye tayari ameshashinda mechi zake nyingi wakati wewe unataka muanze mechi wote mkiwa daraja la kwanza with zero scores. Maana ni nadra sana kumpata mwanaume aliye huru kabisa bila watoto au kuwahi kuwa na familia katika umri wa zaidi ya miaka 35. Labda ukiwa na miaka zaidi ya 35 upige reverse uelewe na mwanaume mwenye miaka 28-32.

Ila wazo ni lilelile ndoa isiyo na malengo ya msingi ya ndoa inapatikana wakati wowote hata ukiwa kibogoyo
 
🤣🤣🤣🤣Wanawake wataona sawa wakiwaw bado wana sura za kuvutia ila kilometer zikifika 30 na point utawaona kwa mwamposa
 
Mimi nadhani hofu ya umri hasa kwa mwanamke pale anapochelewa kuolewa ni possibility ya kutopata mtoto. Kwamba anaweza asipate kutokana na kuwa ktk muda wa menopause coz huwa haieleweki muda exactly wa kuja. Lakini pia hata akidaka inaweza kumpa shida maana mimba zina mikikimikiki yake.

Hayo ya mitazamo ya jamii naona hayana maana. Japo hata kwa wanaume kuna hofu ya kuchelewa kuoa pia,ingawa haisemwi sn.
 
Oya umekunywa kreti zima au!? Hiyo fanta imetengenezewa maji ya bustani ya Edeni. 😂 nilikuambia soda kwa mangi, au umeenda kunywa kempiski?

Soda jero tu, nakutumia buku na yakutolea, usilete mambo ya kiwaki. 😂
Mkuu nimekunywa soda kwa mangi wa Masaki siyo buza, nitumie tu hiyo pesa😂😂
 
Thank you mkuu and here's a bill ni 10,000 tu , tuma namba hii hapa😂😂
Oya umekunywa kreti zima au!? Hiyo fanta imetengenezewa maji ya bustani ya Edeni. 😂

Soda jero tu, nakutumia buku na yakutolea, usilete mambo ya kiwaki.
Mkuu nimekunywa soda kwa mangi wa Masaki siyo buza, nitumie tu hiyo pesa😂😂
Kwa vile ni wewe tu, sitaki udhalilike, ila angekuwa mduwanzi mwingine ningemchinjia baharini, siku nyingine usirudie, nikikwambia kitu ujue nakwambia kwa bei zetu za kwa mtogole.
 
Basi pia usitoe offer kabla hujajua tupo kwa mangi wa wapi😂 kuna mangi wa kishua mkuu ohoo
 
Oya umekunywa kreti zima au!? Hiyo fanta imetengenezewa maji ya bustani ya Edeni. [emoji23] nilikuambia soda kwa mangi, au umeenda kunywa kempiski?

Soda jero tu, nakutumia buku na yakutolea, usilete mambo ya kiwaki. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nnavopenda watoto nikisikia possibility ya kutopata mtoto ndiyo nachoka kabisa 😪

Ila kuna mdada kapata firstborn wake at her 37yrs na bila complications yoyote kabisa
 
Kupiga reverse hapana kabisa, pia unajua tunajiwekea malengo ya msingi kabisa ila mtu sahihi wa kutimiza hayo malengo hatokei kwa wakati, yaani sisi wadada ni tofauti na nyie, sisi tunasubiri tufuatwe na nyie.hatutongozi sisi.
 
Ushauri wa kindezi huu...
 
Nimesema km huna mpango wa kumuoa, sio kumuacha, hebu kuwa muelewa bas.
wee elewa hivyo hivyo. tunapendana na sina mpango wa kumuacha.

Nilikuwa nafikiria baada ya 10 years nikiasi gani atakuwa katumika
 
Nnavopenda watoto nikisikia possibility ya kutopata mtoto ndiyo nachoka kabisa [emoji25]

Ila kuna mdada kapata firstborn wake at her 37yrs na bila complications yoyote kabisa
Pole,lakini pia fanya maamuzi mkuu.Wakati ni sasa na si vinginevyo.

Huyo aliyepata ktk age hiyo ni yeye na bahati yake.Usijiweke ktk mzani naye.

Kama unatamani mtoto pata,hutajuta.Kuna mtu namjua amechezea sn ujana na hakuwahi pata mtoto,aisee nowadays ana depression ya hatariiii.
Kwani ni kikwazo gani kinazuia hitaji lako mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…