Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mtakwisha kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wewe uliufanyia kazi basi una majibu tayari , ulifanyia kazi??π¬π¬financial services Mradi wako huu wakuanzisha uzi, umekupa matokeo?
Hem fikiria wale ulioenda nao shule kuanzia vidudu.Hakika
Ushauri mzuri.
Sema Kuna namna dada zetu wakifika huo umri, kuna namna wanajistukia.
Na hii imetokana na jamii yenyewe tunayoishi inavyowatazama.
Cha msingi ni kuangalia ratiba zako na ratiba za Mungu,,tukiwaangalia watu tumekwisha[emoji23].
Kwa kweli kila mtu ana njia yake.Hem fikiria wale ulioenda nao shule kuanzia vidudu.
*Wapo hawakumaliza hata la saba.
*Wapo wakaishia form 2
*Wapo wakaishi form 4
*Wapo wakimaliza six wakaingia mtaani.
*Wapo walifika chuo.
*Wapo wakimaliza chuo na first appointments za uhakika, maisha safi, vipato vya uhakika
*Wapo wanaenda interview kila wiki.
*Wapo hata interview hawaitwi.
Life's not a bed of roses asee! Na kila mtu ana barabara yake hadi afikie kupigwa chepe. Sad!
soma kwa ufahamu - KILANGA voice. Utaelewa intension za fanani ππππ€£Duh aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Yaani jf[emoji23][emoji119]
Mtu anaanzisha Uzi mnaita mradi?
Watoto 3, wakifikia umri wa balehe ndo itakuwa mbishano kuwa Mimi Ni mama yao, maana umri huo mtoto anakomaa chap chap, (halafu kutokana na umri wangu kuwa under 20 sikuzaa haraka nilisubirishwa mpk 20-21 ndipo nikapata first born)ila nilikuwa mbumbumbu sana hata uzazi wa mpango sikuwa naujua etiπππ, sishauri binti kuolewa ktk umri huo kabisa ni ya heri uolewe "mzee" 30......,,Ahsante sana dear, kwa kushare nasi hakika inabidi mtu uolewe ukiwa na utayari hata umri huo ni muhimu. Ila vipi kwa upande wa kupata watoto na complications za uzazi kwa umri above 30yrs?
Je ulifanikiwa kupata watoto kwa hiyo ndoa yako ya 11 yrs? Je ukiwaona sahivi hamuelekeani hivii yaani unakua na watoto ingali bado kijana rahaaπ
Caught between a rock and a hard place π. Yaani kote kote ni shida.Mi nadhan suala la complications za uzazi kwa wadada above 30s ndilo changamoto kubwa.
Wengi mimba zinatunga nje ya kizazi, kujifungua kwa operation, kupata mimba kwa tabu Sana, wengine mpk ugumba n.k
Nmeliona hili Sana,
Wadada wengi hasa wenye kipato Kia's, huamua kuzaa TU kwanza na yeyote kulinda kizazi, Kisha Mambo ya ndoa na mr.perfect baadae.
Sasa akishazaa tu,
Changamoto yake ndo zile zinaibuka case Tena za vijana kutokuoa single mothers, ikifikia hatua iyo ni maumiv makubwa Sana kwa mwanamke.
Na ujikuta pia akijutia maamuz yake ya mwanzo..
Sasa UKISKIA MWANAMKE AMEUMBWA MATESO, BASI NDO KAMA AYO[emoji26]
Poleni Sana kina dada[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wawe wanatombwa tombwa hovyo hovyo. Ndoa ni heshima kwa mwanamke na ni ishara ya kuwa wanaume hawamfanyi hovyo hovyo au hafanywi kihole holela.Wanawake Dunia imebadilika, tunachopitia leo kama jamii wazungu washapitia siku nyingi. Hakuna kitu kibaya kama mwanamke wa Karne ya 21 kutegemea malengo yake kwa mwanaume. Kwamba utapata mwanaume atakaekuhudumia, kukujengea nyumba ya kuishi n.k. Simama dada yangu jiamini unaweza kufika mbali bila mwanaume au ndoa. Jiongezee thamani wanaume tutakusumbua mpaka utachanganyikiwa hajalishi umri wako. Kuna wanawake wengi Wana maendeleo makubwa na hawajaolewa. Ndoa haitakiwi kuwa kipaumbele kiasi Cha kukupotezea focus ya maisha.
Niko 30+ na bado naona mawingu tu dear SHKwani wewe umefikisha 30 na bado hujaolewa chakorii?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Fair ndoa zinautulivu mwingi sana sababu wote mnakuwa mmepevuka kiakili, ndoa changamoto ni chini ya 30 hapo mnaweza gombana kisa hukushusha tu netiHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aahπ.
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Tuonane tu km vp πNiko 30+ na bado naona mawingu tu dear SH
Kwani na wewe geji inasoma 30+ mheshimiwa SH!Tuonane tu km vp π
Eti mawingu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2969]Niko 30+ na bado naona mawingu tu dear SH
30..umri ni namba TuππKwani na wewe geji inasoma 30+ mheshimiwa SH!
Basi kumbe muunganiko wa nchi zinazoendelea za kusini mwa jangwa la Sahara unaweza kuungwanishwa vizuri kabisa.safi30..umri ni namba Tuππ
Chaubishi upo mamaππEti mawingu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2969]
Yaani misemo yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwe na subra dear maisha ni foleniNiko 30+ na bado naona mawingu tu dear SH
Hakuna cha kusubiri foleni iishe.unajichomeka chomeka huko huko kwenye folen atakaetangazwa kanisani/msikitini ndiye mshindi dear