Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Na mtakwisha kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi si unajuaga akili zangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ratiba zitakavyoenda ndo hivyohivyo aisee..
Kwanza hapa nastruggle kutafuta hela..yaani hata nigonge 30 Sina hela basi ntaendelea tu kutafuta kwanza..
Wanaoongea waache tu wataongea.

Japo sitegemei kufika 30 nikiwa bado Sina chochote.
 
Hakika
Ushauri mzuri.


Sema Kuna namna dada zetu wakifika huo umri, kuna namna wanajistukia.
Na hii imetokana na jamii yenyewe tunayoishi inavyowatazama.

Cha msingi ni kuangalia ratiba zako na ratiba za Mungu,,tukiwaangalia watu tumekwisha[emoji23].
Hem fikiria wale ulioenda nao shule kuanzia vidudu.

*Wapo hawakumaliza hata la saba.
*Wapo wakaishia form 2
*Wapo wakaishi form 4
*Wapo wakimaliza six wakaingia mtaani.
*Wapo walifika chuo.
*Wapo wakimaliza chuo na first appointments za uhakika, maisha safi, vipato vya uhakika
*Wapo wanaenda interview kila wiki.
*Wapo hata interview hawaitwi.

Life's not a bed of roses asee! Na kila mtu ana barabara yake hadi afikie kupigwa chepe. Sad!
 
Kwan ni lazma kuoa au kuolewa mi nazan vtu vingne tunavikuza tu na havina maana sana kuoa au kuolewa ni steji ya maisha ila sio lazma kla mtu aipitie

Kuna mada naionaga humu ya watu wanaokaa makwao ya wameshavukisha umri wa kukaa makwao 30’s
Mm sikai nyumaban ila nmeshuhudia na niona vijana weng tu wanakaa makwao wanafanya kazi nzuri wanaingiza mishahara au wanapata vipato vizuri wanalea familia zao baba mama na wadogo zao wanaokaa nao nyumban
Na pia nmeona vijana wengne wamepanga ila chakula cha mchana anakula kwao cha usku anakula kwao yy kwake anenda kulala tu na wakat mwingne ata wakiugua wanaenda kutibiwa makwao

Maisha kla mtu anamattzo yake ktk maisha na nazan kla mtu anautaratibu wake wa maisha ila kuna watu wanazani wao ndo wako sawa na wengne wanakosea kitu ambacho sio fair
Kwenye majumba aya tunapita watu wanachangamoto watu wanamambo yao sasa usizan unavyoishi ww na familia au jamii yako ndo kla mtu anaoshi ivyo
 
Hem fikiria wale ulioenda nao shule kuanzia vidudu.

*Wapo hawakumaliza hata la saba.
*Wapo wakaishia form 2
*Wapo wakaishi form 4
*Wapo wakimaliza six wakaingia mtaani.
*Wapo walifika chuo.
*Wapo wakimaliza chuo na first appointments za uhakika, maisha safi, vipato vya uhakika
*Wapo wanaenda interview kila wiki.
*Wapo hata interview hawaitwi.

Life's not a bed of roses asee! Na kila mtu ana barabara yake hadi afikie kupigwa chepe. Sad!
Kwa kweli kila mtu ana njia yake.
 
Ahsante sana dear, kwa kushare nasi hakika inabidi mtu uolewe ukiwa na utayari hata umri huo ni muhimu. Ila vipi kwa upande wa kupata watoto na complications za uzazi kwa umri above 30yrs?

Je ulifanikiwa kupata watoto kwa hiyo ndoa yako ya 11 yrs? Je ukiwaona sahivi hamuelekeani hivii yaani unakua na watoto ingali bado kijana rahaa👏
Watoto 3, wakifikia umri wa balehe ndo itakuwa mbishano kuwa Mimi Ni mama yao, maana umri huo mtoto anakomaa chap chap, (halafu kutokana na umri wangu kuwa under 20 sikuzaa haraka nilisubirishwa mpk 20-21 ndipo nikapata first born)ila nilikuwa mbumbumbu sana hata uzazi wa mpango sikuwa naujua eti😂😂😂, sishauri binti kuolewa ktk umri huo kabisa ni ya heri uolewe "mzee" 30......,,

Ni Afrika tu ndo kuna shida ya uzazi kwa wanawake wenye umri wa kuanzia miaka 35 napo Ni sababu ya miundo mbinu ya afya kuwa mibovu, labda na life style ya sasa,, wanawake mpk 45 wanazaa vizuri tu, mfano Ni mabibi zetu huko miaka ya nyuma vitinda mimba wao wengi waliwapata katika umri huo wa 42-46
 
Mi nadhan suala la complications za uzazi kwa wadada above 30s ndilo changamoto kubwa.

Wengi mimba zinatunga nje ya kizazi, kujifungua kwa operation, kupata mimba kwa tabu Sana, wengine mpk ugumba n.k

Nmeliona hili Sana,
Wadada wengi hasa wenye kipato Kia's, huamua kuzaa TU kwanza na yeyote kulinda kizazi, Kisha Mambo ya ndoa na mr.perfect baadae.

Sasa akishazaa tu,
Changamoto yake ndo zile zinaibuka case Tena za vijana kutokuoa single mothers, ikifikia hatua iyo ni maumiv makubwa Sana kwa mwanamke.
Na ujikuta pia akijutia maamuz yake ya mwanzo..

Sasa UKISKIA MWANAMKE AMEUMBWA MATESO, BASI NDO KAMA AYO[emoji26]

Poleni Sana kina dada[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
Caught between a rock and a hard place 😂. Yaani kote kote ni shida.
Duh! Ukweli mchungu
 
Wanawake Dunia imebadilika, tunachopitia leo kama jamii wazungu washapitia siku nyingi. Hakuna kitu kibaya kama mwanamke wa Karne ya 21 kutegemea malengo yake kwa mwanaume. Kwamba utapata mwanaume atakaekuhudumia, kukujengea nyumba ya kuishi n.k. Simama dada yangu jiamini unaweza kufika mbali bila mwanaume au ndoa. Jiongezee thamani wanaume tutakusumbua mpaka utachanganyikiwa hajalishi umri wako. Kuna wanawake wengi Wana maendeleo makubwa na hawajaolewa. Ndoa haitakiwi kuwa kipaumbele kiasi Cha kukupotezea focus ya maisha.
Kwa hiyo wawe wanatombwa tombwa hovyo hovyo. Ndoa ni heshima kwa mwanamke na ni ishara ya kuwa wanaume hawamfanyi hovyo hovyo au hafanywi kihole holela.
 
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah😂.

Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Fair ndoa zinautulivu mwingi sana sababu wote mnakuwa mmepevuka kiakili, ndoa changamoto ni chini ya 30 hapo mnaweza gombana kisa hukushusha tu neti
 
Binafsi naona hakuna shida yoyote ile ila tu hapa wote wawili muwe wakomavu wa akili na hisia. kingine msiwe tu wasikilizaji wa maneno ya ndugu huko nje.. Kuna mdada yuko in her 30's amedate na rafiki yangu mmoja wa karibu kwa muda kama 6 months ila sasa naona wameshamaliza taratibu za wazazi na hayo mengine kasoro ndoa tu.NB; Jamaa angu yeye ni 28yrs tu but ile kujitambua na kutake responsibility yuko safi. It is possible.
 
Back
Top Bottom