Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Mi nadhan suala la complications za uzazi kwa wadada above 30s ndilo changamoto kubwa.

Wengi mimba zinatunga nje ya kizazi, kujifungua kwa operation, kupata mimba kwa tabu Sana, wengine mpk ugumba n.k

Nmeliona hili Sana,
Wadada wengi hasa wenye kipato Kia's, huamua kuzaa TU kwanza na yeyote kulinda kizazi, Kisha Mambo ya ndoa na mr.perfect baadae.

Sasa akishazaa tu,
Changamoto yake ndo zile zinaibuka case Tena za vijana kutokuoa single mothers, ikifikia hatua iyo ni maumiv makubwa Sana kwa mwanamke.
Na ujikuta pia akijutia maamuz yake ya mwanzo..

Sasa UKISKIA MWANAMKE AMEUMBWA MATESO, BASI NDO KAMA AYO[emoji26]

Poleni Sana kina dada[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina maoni tofauti kidogo.

Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili.Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?

Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awatishe kina Mwajuma Nchokonoe.

Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Ni kwasababu Ndoa inampa heshima Sana mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mao tofauti kidogo.

Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Dada zetu wanaishia kuwa desperate kisa kutafuta ndoa. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Ni kweli mkuu, ila nadhani kila mtu na plan yake , mfano mimi i wish siku nije kuwa na familia ile ya Baba, mama na watoto. So kwangu bila ndoa maisha yanawezekana ila ikipatikana ndoa yatawezekana zaidi maana ntatimiza malengo niliyojiwekea. Mungu mwenyewe alimuumba Adamu na kumpa msaidizi Eve. So nadhani ni muhimu kupata wasaidizi.
 
Tatizo mabinti mkiwa kwenye 20s mnakuwa wa moto moto akija msela myajenge muoane mnaruka ruka kama popcorn kisa tu kuna wahuni kibao wanawatongoza.

Little do you know kuwa unapo pass up kila opportunity na probability ya kuolewa nayo inazidi kupungua.
 
Mi nadhan suala la complications za uzazi kwa wadada above 30s ndilo changamoto kubwa.

Wengi mimba zinatunga nje ya kizazi, kujifungua kwa operation, ugumba n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia hapa [emoji419][emoji419].

Ipo sawa na kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu (japo mfano ni nje ya topic kidogo).
Mcheza mpira akifikisha 30 years tayari kashazeeka, anything offered baada ya hapo ni ziada. Hata demand yake inashuka na team zinatupia macho kwa vijana wanaochipukia pamoja na wale wa 20's [emoji16]. financial services

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28] kila siku mwaanzisha thread za kutusimanga, na ninyi mtafika tu hiyo 30 Mungu si Relief Mirzska
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mpaka naulizwa mbona umecheka sana ??? Nani kakuchekesha?? Bahati nzuri analijua Jima la Khantwe maaana kaseviwa hivyohivyo Khantwe na washawahi kuliona katika harakati za Meinyi mpeku katika upekuzi.

Ama kweli Mungu sio Relief Mirzska

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom