financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #21
Am in my early 30s mkuuUna umri gani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am in my early 30s mkuuUna umri gani sasa?
Mkuu yanawezekana Kuna strategy ipo nataka niitumie Ila inabidi uwe na Moyo wa msimamoMimi nina mao tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Dada zetu wanaishia kuwa desperate kisa kutafuta ndoa. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Jamani siwasimangi , ni uzi wetu sote😂[emoji28][emoji28][emoji28] kila siku mwaanzisha thread za kutusimanga, na ninyi mtafika tu hiyo 30 Mungu si Relief Mirzska
Kwa nini usiandike thread ya kutafuta mwamba mwenye sifa unazozitakaAm in my early 30s mkuu
Achana na maneno ya jf Zama mtaani pakufunze huwezi jua huyo 43 alipita kwa waganga wangapi..😂Ooh ok kumbe inawezekana kabisa, thank you Mr. Bujibuji
Ni kwasababu Ndoa inampa heshima Sana mwanamkeMimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili.Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awatishe kina Mwajuma Nchokonoe.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Siamini Kama unanishinda umri we dada nitapigana hata namizimu..mtu wa miaka 23 anasema early 30🤣Am in my early 30s mkuu
Ni kweli mkuu, ila nadhani kila mtu na plan yake , mfano mimi i wish siku nije kuwa na familia ile ya Baba, mama na watoto. So kwangu bila ndoa maisha yanawezekana ila ikipatikana ndoa yatawezekana zaidi maana ntatimiza malengo niliyojiwekea. Mungu mwenyewe alimuumba Adamu na kumpa msaidizi Eve. So nadhani ni muhimu kupata wasaidizi.Mimi nina mao tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Dada zetu wanaishia kuwa desperate kisa kutafuta ndoa. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
But why vijana wa hovyo na si wale wa kawaida kama wengine.?Mkuu kwa wanaume wasaizi hawaangalii umri wanaangalia Kama unalo na unacare hapa hata uwe na miaka 60 vijana wa hovyo watakuoa tu
Usiogope mdada....huo umri usikutishe....Is this Tiger?, sema chochote kuhusu mada mkuu Buji Nyanaume🤔
Nakazia hapa [emoji419][emoji419].Mi nadhan suala la complications za uzazi kwa wadada above 30s ndilo changamoto kubwa.
Wengi mimba zinatunga nje ya kizazi, kujifungua kwa operation, ugumba n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo mtoto mwenzio na huwa nakuambiaga daily, tatizo mitoto ya siku hizi hamna adabu😀Siamini Kama unanishinda umri we dada nitapigana hata namizimu..mtu wa miaka 23 anasema early 30🤣
Wewe toa muongozoNgoja waje kutupa muongozo
Najutaa now nahitaji yeyote ila mradi awe anapumua(joke)😂Si ulinkataa haya[emoji28][emoji28]
Can't believe you!Mimi siyo mtoto mwenzio na huwa nakuambiaga daily, tatizo mitoto ya siku hizi hamna adabu😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji28][emoji28][emoji28] kila siku mwaanzisha thread za kutusimanga, na ninyi mtafika tu hiyo 30 Mungu si Relief Mirzska